Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛eep:😛eep:heheh zingifuri katishaaa!!
Sijui kwanini hapendi kutumia id yake ya siku zote.
Reputation muhimu sana hata iweje.
Japo kuna watu watabishi kisa dai star.
Ukweli Dai ni mwenzetu na anatuwakilisha na tulitakiwa tumpigie kura and kitendo cha kuacha kumsupport na kwenda kuanzisha kampeni ya kuwasupport wengine sio vizuri na lazima kimuume aidha yeye au mashabiki wake na wengineo hasa ukizingatia vipengele alivyopo ni vigumu kwake. ila bhana kuna mambo yanaudhi mpaka inafikia mahala unaamua tu nyeusi na iwe nyeusi. (here I rest my case) na ndo maana mimi nasubiria tu kuja kuzilamba ndimu na kuvunja maapple na dada yangu KOKUTONA nae kaniambia niongeze na maembe lol
Donald ft Diamond on the makin ryt now in SA Universal Records' donald ana track yake moja inaitwa Over the moon hatari sana huyu kijana anaimba RnB moja tamu sanaa.
na bado ile ya Fallyipupa na ya psquare, na nyingne tusizo zijua, sijui kwanini huwa naamini kwamba diamond atakuja kujulikana all over the world kwa juhudi zake, mi nawaambia jamaa atafika mbali Sana, na kadri watu wanavyomuwekea vikwazo yeye ndo anaongeza juhudi, binafsi nafurahia uwepo wa haters coz wanamfanya asijisahau na awaprove wrong, mwisho wa siku anaendelea kuwa juu...
tusisahau kuvote let's vote vote vote

Wat u belv I belv to" one day Mondi atakua famous all around the world akiendelea hv. Haters inabidi wawepo tu yani hahahaha letx vote ya kulalia kwakweli 😉
Umeandika nn kwan?