Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

video ya cheketua bado Tu,,,hebu tufungue Uzi wa tuchange jamanii looo

M kuna siku niliwaambia watashanhaa video ua yamoto inatoka ya K bdo oh hater sasa ndipo inapoelekea mtu hata hawaambii mashabiki wake wat next nn ww unafikiri wataishije. Ndo kama hv tunapokea wakimbizi
 
hhhhhha eti tunapokea wakimbizii hhhhhaaaa,tuwasamehe buree hawaa watu
 
Heheheheheeee kazi mnayo mwaka huuu endeleeni kukurupuka ivyo ivyo apa kazi ni moja tuu ku vote for davido hamna cha huruma wala nini! Unafiki tuu umewatawala hamna cha zaidi nyie ni sawa na mikia ya fisi hahahaaa team kiba mtatuwezea wapi? Saizi yenu taarabu acheni sisi tuchekechue na nyongo zitawatoka mwaka huu na unafiki na ushushushuu wenu mpaka mkonde kama mnanyonyesha alafu hamna lishe heheheiyaaaaaaa hamna tofauti ya mwanamke na mwanaume wote mmekalia umbea adi makalio yameota sogu bado kuota tuu mkia mjidhihirishe. Wanafiki mnaong'ata na kupuliza puuu kama panya buku yatawashindaaaaaaaaaa.
Nilale zangu mie nisihangaike na watu wanaotembelea fake juu ya fake id full stop
 
M kuna siku niliwaambia watashanhaa video ua yamoto inatoka ya K bdo oh hater sasa ndipo inapoelekea mtu hata hawaambii mashabiki wake wat next nn ww unafikiri wataishije. Ndo kama hv tunapokea wakimbizi

atawauwa kwa stress bora tuwapokee tu kuokoa maisha yao
 
M kuna siku niliwaambia watashanhaa video ua yamoto inatoka ya K bdo oh hater sasa ndipo inapoelekea mtu hata hawaambii mashabiki wake wat next nn ww unafikiri wataishije. Ndo kama hv tunapokea wakimbizi

hahahaaa,, nacheka sana leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…