Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Hii singo ' VOTE DAVIDO ' haina tena mashiko, tafuteni nyingine.
 
Ivyo Ivyo= hivyo hivyo
apa= hapa
adi= hadi
sitaki kuona kiswahili kinaharibiwa...haya jojoa ulale
 
Kanye kabisa... kwani usichoamini apo ni nini? Napenda wimbo wake wa UKIMWONA na MAPENZI BASI izo mbili tuu wew kwani ulizani namchukia domo? Kama una chuki na kiba au hupendi wimbo wake ata mmoja ujue wew ni team mkumbo na sio team muziki mzuri

Mbagala upendi?
 

Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
 

Attachments

  • 1434919649160.jpg
    33.8 KB · Views: 79
Hebu tuambie I'd yako ya zmani ukute ni yule anaempondaga haswa Daimond ,,
Mmoja mmoja ndio mwendo
Who is nexttttttttttttt............

Teh Teh unaweza kukuta ni ndugu Sakafu ana chezea watu akili.
 
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???

Nilijua tuu minafiki itapita mle heheheeeeeeeee pole sana hapa ni K for real asikuambie mtu.
Na ndo maana kila saa mnang'aa sharubu mle kwikwikwiiiii unafiki na umbea utawaua jamani ila sio mbaya kaandike kwenye gazeti coz ndio jadi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…