Hahahaaaaa mizee ya kukurupuka hiyooo ikipata habari haijui kufanya reseach inaongoza tuu kichwa mbele kama cobra kuandika gazeti.
Ila mamy team kiba tunawapa stress sana yani na watakoma ndio mwanzo tuu
Sasa kama mambo ya chekechea tu huwezi kipi unawezaYaaah utalipwa kwa hiyo fan yako ya chekechea...
Walimu wa chekechea bhana kazi kweli kweli
Unafiki ni huu mlio nao nyie hapa alafu idadi ya wanaume kweli inapungua maana na wew adi mwandiko wako ushakaa ki kike kike badilika kuwa mwanaume
Kiba itakua alitoa ela advance sasa inabidi akamalizoe video iachiwe sasa pesa hakuna empty show alizopiga US alijua zitalipa kaenda US kapanda first class ndege ful kupiga picha akijua show kule zitamlipa karud kimya kimya bongo naona alipanda 3rd class hahaha
Unalazimisha tu, sie wala hatukujui humu....Unafiki kweli kazi ndo nisha sign. #pikenimajunguyakiivamle .
Ila unafiki sio mzuri
Unalazimisha tu, sie wala hatukujui humu....
Swadakta hujakosea....uzalendo hadi kwenye lughaHiyo ndio fani yako.Good for youuu.
Dushelele maana yake ni Sesembula.
Swadakta hujakosea....uzalendo hadi kwenye lugha
Lipo kamusi ya lugha gani hilo neno???
ivi= hiviSafiii:thumbup:
ivi Dangote maana yake nini?
Habare zikufikie Kisononko popote ulipo.
Team Hatuhami ng'oooo!
Kamusi ilipo neno Sankoro na Dangote.
ivi= hivi
mi hata sijui maana yake hebu jaribu kugoogle
Usinambie hii ndo akili uliokuwa unatumia shule kujibu maswaliπππ
Kweli kiba anapotezwa na hawa watu.
Huyo anajitekenya na kucheka mwenyewe mwanasaikolojia nshaconnect dot anajifungulia na kujimention na kujipa like huku akijilalamikia hayupo online....."alikiba ni stress tu, acha nkapate gambe" lolHamumjui lakini daily mnamfungulia thread!
Shule ndio nini?
Mara ya Tisa hii unaaga....kweli viroba sio chaiMamy twende zetu tushawapa vichambo vyao tusije tukalimwa ban bure maana hawa ni wataalamu wa kureport. Ata ivyo hawa wote ni underground so watakaa sana.
Tumewachamba vya kutosha sasa kesho warudie tena kosa waone.
Nyie wanafiki mmesikiaa? Kesho leteni unafiki mwingine msipoona jf chungu.
G9t mamy sisi tulale tuache wachawi wakitulinda
Ha ha ha stress msameheSikujua kumbe nlikuwa nabishana na akili za gambe???
Lala bhana, usiku mwema ee!