Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahaaaaa mizee ya kukurupuka hiyooo ikipata habari haijui kufanya reseach inaongoza tuu kichwa mbele kama cobra kuandika gazeti.
Ila mamy team kiba tunawapa stress sana yani na watakoma ndio mwanzo tuu

Habare zikufikie Kisononko popote ulipo.
Team Hatuhami ng'oooo!
 
Unafiki ni huu mlio nao nyie hapa alafu idadi ya wanaume kweli inapungua maana na wew adi mwandiko wako ushakaa ki kike kike badilika kuwa mwanaume

Hahahaaaaa......kama nakuona hivi ulivojikunyata apo, kama umeishiwa hiv hoja, lala tu, hatutasema umekimbia.
 
Kiba itakua alitoa ela advance sasa inabidi akamalizoe video iachiwe sasa pesa hakuna empty show alizopiga US alijua zitalipa kaenda US kapanda first class ndege ful kupiga picha akijua show kule zitamlipa karud kimya kimya bongo naona alipanda 3rd class hahaha

Aaagh picha zile za kuomba kupozi zile, angerusha hata tano angekuwa class hiyo...lol
 
Mdogo mdogo lyrics(toka wasafii blog) hiki kipande imba nami

...

{Chorus}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!

....

Usisahau kupiga kura MTV Africa Diamond anawania tuzo 3
 
Habare zikufikie Kisononko popote ulipo.
Team Hatuhami ng'oooo!

Mamy twende zetu tushawapa vichambo vyao tusije tukalimwa ban bure maana hawa ni wataalamu wa kureport. Ata ivyo hawa wote ni underground so watakaa sana.
Tumewachamba vya kutosha sasa kesho warudie tena kosa waone.
Nyie wanafiki mmesikiaa? Kesho leteni unafiki mwingine msipoona jf chungu.
G9t mamy sisi tulale tuache wachawi wakitulinda
 
Mara ya Tisa hii unaaga....kweli viroba sio chai
 
Back
Top Bottom