mzalendo01
Member
- Jun 25, 2015
- 53
- 36
angalia vizur kampa sapoti dangote mbona
Kwi kwi kwi kwi kwi ona Nana nana sankoro sankoro sankoro taii kama Ronaldo.
Teteteteh nyimbo nyingine vichekesho vitupu sema waganga wa Bab tale wanasaidia kuboost huyu jamaa.
Moja ya majibu ya Diamond Platnumz jana redioni.
Zari nae tangia adate na diamond katoka followers 200k ad 500k. Nyota ya Diamond ni noma
+Noma sana, nikiangalia mastaa wa Uganda walio juu hakuna aliofikisha followers zaidi ya 100k,
+first lady wa WCB sasa hivi anaongoza Uganda
Chezea chibu wewe utalala mbavu zinauma! (In Bichau's voice)😂😂😂
Mkuu salama?? Jana nlikuona ukiwa kule kwwnye ule uz wa jiran ukiwapa facts
Hahah niliwatembelea kdogo c unajua ni wenzetu wale. Wao kila saa wanacheketua tu hamna jipya
Diamond N Manecky wamaliza bifu Lao
Mchana mwema wakuu
Na wewe pia"
binti kiziwi am already change haha hapo vp?