AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Long live the KING KIBA 👑👑Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".
Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.
Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.
Karibuni sana wadau.
======================
UPDATES:
Msanii diamond kachagulia kwenye kinyang'nyiro cha tuzo wa Mtv African Music Awards (MAMA2015) kwenye category tatu ambazo ni
1.Best Male
2.Best Live
3.Best collaboration
Jinsi ya kupiga kura click MAMA 2015
Unachotakiwa kufanya ni;
◆ kuclick sign up then utapewa optin ya kuingiza facebook akaunti yako,email address au akaunti yako ya tweeter. baada ya hapo utakuwa ume jisajiri kupiga kura.
◆ chagua category tajwa hapo juu,utakutana na picha,jina la msanii na nchi anayotoka click neno 'vote' utaletewa ujumbe kua umesha mpigia kura msanii wako diamond
◆note:kwenye huo ujumbe kwa juu kuna alama ya x,bofya alama hiyo ili kuweza kurudia tena kumpigia kura msanii wako.
◆Pia usisahau kunpigia kura msanii wa kike Vannesa Mdee ambae yeye yupo kwenye category ya "Best female".
◆pia waweza kuwapigia kura Sauti sol kutoka kenya wao wapo kwenye category ya "best group".
◆Unaweza kupiga kura mara ishirini kwa siku.(tumia app ya google chrome au browser,kwa sasa opera mini inasumbua)
Tanzania ikisema "Yes" nani wa kupinga..???
DIAMOND FOR TANZANIA.
Kwa maelezo zaidiBonyeza hapa MAMA 2015
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑