Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".

Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.

Kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.

Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.

Karibuni sana wadau.

======================

UPDATES:

Msanii diamond kachagulia kwenye kinyang'nyiro cha tuzo wa Mtv African Music Awards (MAMA2015) kwenye category tatu ambazo ni

1.Best Male
2.Best Live
3.Best collaboration

Jinsi ya kupiga kura click MAMA 2015

Unachotakiwa kufanya ni;

◆ kuclick sign up then utapewa optin ya kuingiza facebook akaunti yako,email address au akaunti yako ya tweeter. baada ya hapo utakuwa ume jisajiri kupiga kura.

◆ chagua category tajwa hapo juu,utakutana na picha,jina la msanii na nchi anayotoka click neno 'vote' utaletewa ujumbe kua umesha mpigia kura msanii wako diamond

◆note:kwenye huo ujumbe kwa juu kuna alama ya x,bofya alama hiyo ili kuweza kurudia tena kumpigia kura msanii wako.

◆Pia usisahau kunpigia kura msanii wa kike Vannesa Mdee ambae yeye yupo kwenye category ya "Best female".

◆pia waweza kuwapigia kura Sauti sol kutoka kenya wao wapo kwenye category ya "best group".

◆Unaweza kupiga kura mara ishirini kwa siku.(tumia app ya google chrome au browser,kwa sasa opera mini inasumbua)

Tanzania ikisema "Yes" nani wa kupinga..???

DIAMOND FOR TANZANIA.

Kwa maelezo zaidiBonyeza hapa MAMA 2015
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
 
Vote vote tevo vote vote I new tutachukua tena as we did last year MTV mama
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
 
Nana trace kwa wiki ya pili mfululizo tupo namba 1... kwa upande wa mtvbase ndio tumeingia top ten hii j4 tupo namba 9... wosaaaaaaa

Ahahahaha!!huyo kibaka wao kila siku,kila wakati,kila dakika anakazi ya kumsema diamond tu mdomoni mwake!hivi ni nani alimwambia kama mziki una mwenyewe!?
 
Katika pitapita zangu nikakutana na hii ya flaviana matata 1436504540507.jpg
 
kama ali alichokuwa anafanya cokestudio afu akawamaliza kwa kutoa wimbo wa mapenzi ramadhan, daaah sijui muislam gani

Wote magumashi, Kiba akiliwa tigo ndio Itahalalisha Diamond naye kuliwa tigo?

Hivi Diamond kwako ni malaika? Mbona una akili ndogo sana?
 
Wote magumashi, Kiba akiliwa tigo ndio Itahalalisha Diamond naye kuliwa tigo?

Hivi Diamond kwako ni malaika? Mbona una akili ndogo sana?

kiimani muziki waaofanya kiba na mond hauruhusiwi... ukilifahamu hilo haina shida ya kujibalaguza kuuliza uislamu ramadhani wakati unajuwa kwa kitu ulichowafahamia hakiruhusiwi kidini...

Relax kacheketue.. Ramadhani waachie wenyewe..
 
Back
Top Bottom