Kwa iyo anataka kutuambia kuwa seyi shayi alimwomba kiba ampost, ukute ata hajui Kama kuna MTU anaitwa kiba hahaa
Diamond atawaua bure asee!
...maana, mara watu tuna'vote Mtv, hatujamaliza tunaambiwa tuvote UEA....mara mtu anapga show Nigeria, karud hajakaa sawa anajaza nyomi Singida...
Afu wakiangalia upande wao, ndo kwanz znaletwa nyuz za kudoda kwa video yao..
Hahahaaaaaa
ahahaaaaaaa!!!usinichekeshe mimi mbavu zangu!maana king alipaniki siku ile vibaya sana!!watu walimtukana sana mpaka akapaniki na kujikuta anapost hata watu wasiomjua!nina imani hata hamjui huyo mtu basi tu pressure ilikua juu.
Hahah eti kisa kafanya kazi na mejialaba ndio mana akasema Vote for Seyi shayi" Seyi Shayi amjue kiba kwa mziki gani . Kujipendekeza kwingine bwana
Hahaaaa haya tupe, naona sikuizi unakasi ya mashairi tuambizane ukitaka kutoa nyimbo mi ata chorus tu nitafaa
ahahaa!yaani anajipendekeza sio siri!!nahisi anatamani sana kufanya collabo na wanaija kama diamond ila ndio hivyo tena ataambiwa anaiga nyayo za chibu.Mwenyew nahis hata hamfaham....anatafuta kiki tu na kujipendekeza kwa wanaija.
Ahahahaaaaaa!!!nilicheka na marudio ya album ya sinderella sijui ninini vile pale clouds kwenye siz kitaa!hivi jamani tangu amechukua tuzo amaeshawahi kufanya show kweli king??!
ahahaaaaaaa!!!usinichekeshe mimi mbavu zangu!maana king alipaniki siku ile vibaya sana!!watu walimtukana sana mpaka akapaniki na kujikuta anapost hata watu wasiomjua!nina imani hata hamjui huyo mtu basi tu pressure ilikua juu.
Walilifanya group la watsapp lile teh teh
Hahaaaa anasema hanabifu na diamond ila kampost hajampost kumuombea kura, eti kisa hajamuomba, kwaiyo wote alowapost wamemuomba, Kama sio wivu na unafki ni nini
Duuuh!
...cjui kama kafanya show tena!.....tungesikia makelele humu ndani....nina uhakika hajafanya!
ahahaa!yaani anajipendekeza sio siri!!nahisi anatamani sana kufanya collabo na wanaija kama diamond ila ndio hivyo tena ataambiwa anaiga nyayo za chibu.
Yaani kiba ana wivu tena sio kidogoo!!akitajiwa diamond tu sura inabadilika vibaya mno mpaka watu wanamshitukia!kwenye citizen alidanganya ana miaka 28
Duuuh!
...cjui kama kafanya show tena!.....tungesikia makelele humu ndani....nina uhakika hajafanya!
Alikuwa bize kutengeneza video ilosussiwa hahaaa
Mweeh!!naona mapromota wameamua kumuua njaa!maana msanii usipofanya show basi hata mwezi tu basi njaa inakuhusu!!
Anamtaman sana wcb presidaa.....ila ndo hivo tena hawez kuomba connection kwake.....aombe tu km vip haon mwenzak shetta anavokimbiza na shikorobo!
...kaz ya platnumz ile!
Mweeh!!naona mapromota wameamua kumuua njaa!maana msanii usipofanya show basi hata mwezi tu basi njaa inakuhusu!!
Hahaaaa wivu mbayaaa, Ivi anamiaka mingapi