Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Neyo anakuambua " my whole timeline was like diamond diamond diamond" 🙌🙌🙌
 
Nyi watu Hamna access nini na MTV base? Durban kishanuka huko Best live

Katangaza Vmoney Diamond kachukua ,ndo tuzo ya kwanza kutolewa
 
Nyi watu Hamna access nini na MTV base? Durban kishanuka huko Best live

Katangaza Vmoney Diamond kachukua ,ndo tuzo ya kwanza kutolewa

Watu cjui wapo kusherekea IDD me nacheki
 
Big up sana diamond platnum baby,naona sasa watatutambua kwa lazima kuwa kuna jembe swhere in tanzania,muheshimiwa rais alivyosema afadhali kwenye upande wa music kuna mtu anatutoa kimasomaso hakukosea
 
Hv kumbe furaha huwa inakosesha hamu ya kula eeh daah ckujua bora hata nngekula tangu saa mbl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…