Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nasikia platinumz hajatuangusha huko MTV
 
Kwa wale ambao hawangliii kupitia dstv ingia YouTube search viral Africa thread utacheki tuzo live
 
Nyi watu Hamna access nini na MTV base? Durban kishanuka huko Best live

Katangaza Vmoney Diamond kachukua ,ndo tuzo ya kwanza kutolewa

Kuna uzi mwingine wa mama, watu wako huko
 
Tumechukua mwali sasa ni kusubiri kuipokea.. Itakuwa wapi mwembeyanga? Leaders? Au mbagala zakihem?.. Tuvute subira.

Wale jamaa zetu msitusumbue tena tumemaliza kila kitu yani kila kitu.. Big up kwa mashabiki wa ukweli wa platnumz hakika amejaliwa mashabiki na supporters wa kweli ni mtaji mkubwa sana.
 
Wadau wadau... Tushapewa zawadi ta Eid maan hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…