Can't wait aseeeee...I just love the duo.
wangapi tushamaliza kupiga kura
Ukipiga hivo inamaana utakua umepiga mara moja tu!sasa ili uendelee kupiga kura mara nyingi zaidi inabidi uendekwenye hichi kipengele
1.Ukishavote utaambiwa thank you
2.Kuna sehemu wameandika Comments-unaweza ukaweka comments zako pale kwa kutumia email.
3.kuna sehemu wameandika Create you own Poll hapo sasa ndipo pakugonga!
-Ukigonga hapo kwenye kitufe cha Create you own poll utajisajili kwa email adress na kisha utaruhusiwa kupiga kura mara nyingi zaidi uwezavyo
vote vote vote
Vote vote vote