Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platnumz alivyofunika MTV MAMA AWARDS 2015

Last edited by a moderator:
Diamond amechaguliwa categories 7 afrima congratulations to hm niUshindi tayar sasa tusubiri kuvote tu guy. Diamondplatnumz forever the best of the best
 
Ukipiga hivo inamaana utakua umepiga mara moja tu!sasa ili uendelee kupiga kura mara nyingi zaidi inabidi uendekwenye hichi kipengele

1.Ukishavote utaambiwa thank you
2.Kuna sehemu wameandika Comments-unaweza ukaweka comments zako pale kwa kutumia email.
3.kuna sehemu wameandika Create you own Poll hapo sasa ndipo pakugonga!
-Ukigonga hapo kwenye kitufe cha Create you own poll utajisajili kwa email adress na kisha utaruhusiwa kupiga kura mara nyingi zaidi uwezavyo
 
Sawa n pale return to poll
 
Chinga One mkuu fanya ku edit uweke link za kupiga kura kwa sasa NEA, AEA, na AFRIMMA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom