Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tafuta binamu mwingine, nimekugaya, ubuyu akakupe huyo hyo ndomo wako , umfuate uko uswahilin sinza akupe umbea

Umepatwa wivu jamani,mbona we unampenda wema mi sisemi
 
Nipishe apa ushanivuruga, eeh kuna mtu naona kutwa anahangaika kunitukana humu na kunitag ovyo, yan anahangaika na warumi mpaka nimemuonea huruma maskini
 
Last edited by a moderator:

Achana naee muweke ignore list nenda kwenye profile yako tafuta neno ignore list ingia halaf utaona sehemu ya kuandika jina,andika jina la huyo unaetaka kumuweka kazi ndogo kama huwezi kuvumiliaa
 
Last edited by a moderator:
Jamani Daimond ametoa ngoma kaliiiu kiamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Achana naee muweke ignore list nenda kwenye profile yako tafuta neno ignore list ingia halaf utaona sehemu ya kuandika jina,andika jina la huyo unaetaka kumuweka kazi ndogo kama huwezi kuvumiliaa

Ok, ahsante binamu, ngoja nifanye hvyo
 
Back
Top Bottom