Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wallah siku ukiniweka wewe kwenye ignore list, nafunga account ya JF na siingii tena! Yaani in short, nitasusa moja kwa moja!

hahaaaaaaaa naanzaje kukuweka huko.. that will be tha last thing to do nikiwa member wa JF
 
hahaaaaaaaa naanzaje kukuweka huko.. that will be tha last thing to do nikiwa member wa JF
Hapo sasa... yaani HoE huyu huyu ambae anajua kabisa kwamba nikimuona tu, najiskia rahaaaaa, halafu leo aniweke kwenye ignore list!!! Wallah, siku ikija kutokea nafanya kama nilivyosema au nitatafuta hadi unakoishi nije kupiga magoti... kama PNC vileeee!!!
 
Picha ya vipi Dina... manake nimefuatilia maongezi yenu na huyu binamu yako mwenye mahaba na ban lakini sijapata jibu unazungumzia picha ya aina gani.. I mean picha ya kawaida from your storage memory au screenshot?? Anyway, labda nizungumzie both cases:
Kama ni picha ya kawaida ambayo tayari unayo kwenye storage memory, fuata taratibu zifuatazo:
1. Hapo juu kuna row imeanza na B I U. Kulia kabisa kuna ki-speaker.... . Anza kuhesabu ukianza na hicho kispika kuelekea kushoto. Icon ya sita, ipo dizaini kama mkanda wa filamu... ukitaka ku-attach video, una-click hiyo icon lakini kv sio video, tuachie hapo! Baada ya hiyo film icon, inayofuata kuelekea kushoto ndiyo kwa ajili ya image... Kwanza, weka cursor yako pale unapotaka picha ikae kisha click hiyo Icon (Insert Image)!
2. Ukisha-click, itafunguka dialogue box ambayo kwa juu itakuwa na maneno "Insert Image"
3. Chini ya maneno Insert Image utakuta options mbili--- (i) From Computer, (ii) From URL
4. Kama picha ipo kwenye Computer/simu, uta-click From Computer... kisha nenda chini click "Choose File" na hapo itafunguka box ili kutafuta hiyo pic from PC... ukiiona hapo ulipoiweka, utai-click(single click) hadi uhakikishe jina la hiyo photo linatokea kwenye sehemu iliyoandikwa File Name kwenye hilo box ambalo limefunguka! Likishatokea hilo jina kwenye File Name, uta-click Open kisha utarudishwa kwenye ki-box cha awali ambach kimeandikwa From Computer/URL
5.Then click Upload File(s)... subiria sekunde chache na mzigo utakuwa ushatua!!!

Kama picha haipo kwenye computer ila kwenye net, njia nyepesi ni kuanza kui-save hiyo picha kwenye PC kisha unafuata above procedures.

mkuu hii kitu kwa sisi tunao tumia simu naona inakua ngumu sana hizo icon hazionekani wala nini hata uki request "desktop view" hazionekani pia.
 
Single mpya iyo dogo kafunguka kua Diamond ndie Role model wake katoa single kwa jinsi anavyo be inspired na diamond....anaitwa Meda
 

Attachments

  • 1416376570255.jpg
    1416376570255.jpg
    79.7 KB · Views: 907
mkuu hii kitu kwa sisi tunao tumia simu naona inakua ngumu sana hizo icon hazionekani wala nini hata uki request "desktop view" hazionekani pia.
Duh... basi huo mtihani na kv sijawahi kutumia simu ndo wala cfahamu kwa case kama hiyo mtu anatakiwa kufanya vipi!!
 
Nimeangalia video yake ukweli dogo anaimba vizuri sana na ata video nzuri.Kiwembe inabidi ampe support
 
Nimeangalia video yake ukweli dogo anaimba vizuri sana na ata video nzuri.Kiwembe inabidi ampe support

umeona eeh dogo anakimbiza sana ila ndo ivo ivi vitoto vikoshatoka tu Basi ni sheeeeeeeda naye atakua kiwembe kama domo
 
huyo dogo kama siyo kaotea basi atakuja kumfunika ha Diamond,lol
 
Hii kitu bhana, JF wanatakiwa ku-improve setting zake!! Hivi umeshawahi kuona ama kusikia mtu anapita mahali halafu watu wanaanza kumcheka kichini chini... jamaa anajiuliza, hawa wanacheka cheka nini... hana jibu, kumbe, zipu ipo wazi na mjomba anachungulia lakini jamaa hana habari!!!!!!

Sasa basi, assume umemweka Dinazarde kwenye ignore list... c unajifanya umesusa, JF wanasema Poa, kwavile umesusa basi kila anachoandika Dinazarde hutakiona NG'O lakini wewe ukiandika, Dina anaku-enjoy kama kawa... uliyesusa si wewe, kwani yeye!!!

Now assume, umejishembendua shembendua hapa halafu Dina akakupa makavu live... yale yale ya kuumiza hadi kwenye mishipa ya damu!! Utashangaa tu kutuona akina NasDaz kila tukikuona tunaanza kucheka chini chini... hujui kulikoni, huku tukiziba midomo kwa viganja vya mkono ili tusitoe sauti!! Sasa akitokea mbeya mwenzako aliyekubuhu akaamua kuua kabisa na kusema "Dina bhana, wala siamini... yaani warumi huyu huyu ndo kafanya hayo mambo, mungu wangu, yaani nilikuwa namuona wa maana kweli...!!" Dah... si kukuuma huko... manake wala hujui Dina kapiga mashuti gani...! Unaweza kujikuta baada ya dakika tano unaenda kumtoa kwenye ignore list ili uone kinachowafanya watu wacheke chni chini kila wanapokuona!!!!

Hiyo inaitwa UKISUSA, WENZIO TWALA!

ukiona mtu an kimbia vita basi huyo ni wa kiume sio mwana ume.
 
Jamani mmeitazama "barua kwa diamond" umeimbwa na Dogo toka iringa....ni nzuri na inaelekea diamond atamsaidia yule jamaa...


A real superstar anatungiwa nyimbo jamani....a real superstar jina lake litatumika na watu ili watoke.


Lakini zaidi jina lake litatumika na wwliojiishia ili na wao wasikike tena

Tafuta kichupa kipya cha mondi kimesimama sana lazma wakae tu safari hii.
 
Back
Top Bottom