Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sitochangaa na sishangai coz Dmoond ndo abari ya mujini,hakun media na hakuna msanii atakae hojiwa bila kumutaja Dmond yaani kitu ambacho hakiwezekami kwa vovote vile, haliwi linakuwa na Dmond bin Matuzo ataendelea kuwa kwa charts za juu,maana mziki wa kitanzania kwa zama hizi za magufuli huwezi kaa bila kumutaja platnumz yaani haliwezekani kwa mabaya anayo Fanya na hats mazuri take yaani huyo ndo Almasi ya Tz na Afrika in general na aliyeenda kutuwakilisha barani ulaya kwa Tuzo za mtvEMA ama kweli watizi wanachuki ni balaa Life is what you make it.
 
Last edited by a moderator:

Kwa bahati mbaya sana hakuna mwanamuziki Tanzania aliewahi kuipigia campaign CCM akaendelea kuwa juu, so dropping ya Diamond ilitegemewa sana tu!
 

Dah nitamshauri hata akukaze labda itakiki.
 
Mzee wa essay ushakuja kuharibu thread daa we itakuwa ni house boy wake wewe yani akitajwa tu domo unakuja mbio
 
Kwa bahati mbaya sana hakuna mwanamuziki Tanzania aliewahi kuipigia campaign CCM akaendelea kuwa juu, so dropping ya Diamond ilitegemewa sana tu!

Diamond na marlaw 2010 ndio walikuwa wasanii walioongoza kuzunguka kuipigia kampeni zaidi kuliko wasanii wote na bado anakimbiza mpaka leo

Chege na temba tokea 2005 wanapigiaga kampeni CCM ila bado wapo

Kushuka Diamond sio leo wala kesho ni mpaka Mungu mwenyewe apange, cha zaidi kupigia CCM campaign ilimfanya azungumziwe zaidi na kuzidi kuwa topic kubwa kitu kilichomuongezea coverage ya umaarufu..

Na cha zaidi, kwa akili za wanaukawa juu ya wasanii zilivyo, hataki demokrasia kwa wasanii ila kikitokea kitu ndio wa kwanza kulalama hamtendewi haki.. kwa staili hiyo msubiri mpaka mwaka 2100 kidooogo mnaweza hata kupata viti vya wabuge sawia na CCM ila urais msahau kabisa
 

sawa hausigel wa diamond
 
We si ni kidingi hata chekecha ilivyotoka kuna wasanii kama T I D alisema hata week haifiki matokeo yake imebamba mpaka america na kuingia katika album ya Africa top song haha king kiba
 
Halafu sijui kashakosea masharti ya mganga au freemason maana siku hizi anapost kufa kufa tu na wakati mwili kaufanya gazeti duu hali mbaya majirani #nagharamia
 
Diamond umaarufu wake haushuki kama kuja na kupotea kwa chidi benzino kwenye game.
 
We jamaa inaonyesha kwenu wamezaliwa wanawake watupu ila mwanaume uko ww pekee yako,sasa kwa bahati mbaya umejikuta kuadapt tabia za Dada zako.

Sasa mbona unamuita JAMAA, kisa nini kumtreat mwingine kama ME, utamfanya ajisikie vibaya.
 

I bet Don't bother itasumbua sana tuzo za mwakani.
Ati nagharamia ndo nani? (Kwa sauti ya Joti).
 
Mletamada kingine kikubwa, huo muda unaopoteza kwa diamond mngetumia kumshauri mtuwenu awe na mahusiano mazuri na wenzake

Nadhani kwa tathmini ya haraka umeona jinsigani alivyokosa support kwenye wimbo huu ni kama yeye na bella na jokate tu, kila siku mkiambiwa kijamaa kinadharau mnabisha haya ndio matokeo yake anakosa support ya kutosha

Ngojeni king of afropop aje kufumua vitu

cc. pwilo nifah cute b
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…