Bannnn
Mvaaa moka au?ha ha eti walio potea wanatumia jina la mond ili wasikike tena i like it.
Piga kuraaaaaa@Dinazarde
Bina kuna uzi wa kiba kule chinii au ndo kimtindo ushazimika kwa wasafiiiiiiii
ha ha ha naona sasa hivi wame hamia kwa camerion wameshindwa kumpigania mvaa moka.
Mvaaa moka au?
huyo huyo.
ha ha ha naona sasa hivi wame hamia kwa cameleone wameshindwa kumpigania mvaa moka.
Piga kuraaaaaa@Dinazarde
ha ha ha hivi yule mvaa moka amesha toa video ya mwana?
nackia anamsubria baba yao daimond atoe ngoma ndo na yy atatoa,yaan wana kaz dangote anawatia sana stress huko mtaa wa pl
Pichaduka iyo bana,
Hayaaa nimekupata napiga sasaa
Tafuta binamu mwingine, nimekugaya, ubuyu akakupe huyo hyo ndomo wako , umfuate uko uswahilin sinza akupe umbea
Nipishe apa ushanivuruga, eeh kuna mtu naona kutwa anahangaika kunitukana humu na kunitag ovyo, yan anahangaika na warumi mpaka nimemuonea huruma maskini
Achana naee muweke ignore list nenda kwenye profile yako tafuta neno ignore list ingia halaf utaona sehemu ya kuandika jina,andika jina la huyo unaetaka kumuweka kazi ndogo kama huwezi kuvumiliaa
Ok, ahsante binamu, ngoja nifanye hvyo
Halaf tafuta neno submit kwa chinii nadhan unaelewaa