playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
#Nagharamia# ni nyimbo ambayo wasanii wawili wanashindana kupandandisha sauti haiwezi kumtisha diamond hata kidogo
Diamond umaarufu wake haushuki kama kuja na kupotea kwa chidi benzino kwenye game.
wambie hao Kidingi(fatherly).
Maajabu atakayoyafnya platnumz nyi twendenu tu.!!!
unakaa nyagwa mwenyewe lofa weww.
I bet Don't bother itasumbua sana tuzo za mwakani.
Ati nagharamia ndo nani? (Kwa sauti ya Joti).
Ndugu zangu sielewi kabisa, huyu jamaa Nasib mzee wa kick na skendo watu wamempuuza sana, anatumia gharama nyingi kutengeneza video kali lakini watanzania wanaishia kuipongeza video na sio nyimbo tena.
sasa hivi jamaa anachojivunia ni video kali na kukata mauno tu kwenye waimbaji bora hayupo kabisa, ukisikia kama ni tuzo yeye atabeba tu kipengele cha video bora ambapo kimsingi ni juhudi za director, pia utasikia kabeba tuzo ya mnenguaji bora ambapo kimsingi hata twanga pepeta hata wao wakikomaa watachukua.
Jamaa nyimbo zake zinaingia top 10 kwny tv na station zile zile tu huko nje kwa wachumia tumbo lakin huwezi kusikia hata siku 1 akishika chat hapa bongo kwanini?
Skendo sasa hamna hata kick ya kudandia hana tena, vya kupost hana maana kama ni kick ya tiffah basi kashazaliwa, kama ni wema basi mwenzake kashapata mtu wake.
Kijana hajui kick gan atokee, anajarbu kumchokonoa mfalme kiba, ila ndo hivyo kashazibwa mdomo na #Nagharamia sasa kabakia tu kupanick insta ooh i swear sijui nikifa hahahaha
Watanzania kwanini mmempuuza Nasib?
Mletamada kingine kikubwa, huo muda unaopoteza kwa diamond mngetumia kumshauri mtuwenu awe na mahusiano mazuri na wenzake
Nadhani kwa tathmini ya haraka umeona jinsigani alivyokosa support kwenye wimbo huu ni kama yeye na bella na jokate tu, kila siku mkiambiwa kijamaa kinadharau mnabisha haya ndio matokeo yake anakosa support ya kutosha
Ngojeni king of afropop aje kufumua vitu
cc. pwilo nifah cute b
Support sio yeye tu analalamika hata domo analalamika watu hawampi support wanangoja watoe hongera tuMletamada kingine kikubwa, huo muda unaopoteza kwa diamond mngetumia kumshauri mtuwenu awe na mahusiano mazuri na wenzake
Nadhani kwa tathmini ya haraka umeona jinsigani alivyokosa support kwenye wimbo huu ni kama yeye na bella na jokate tu, kila siku mkiambiwa kijamaa kinadharau mnabisha haya ndio matokeo yake anakosa support ya kutosha
Ngojeni king of afropop aje kufumua vitu
cc. pwilo nifah cute b
Mbona mnatukana sana team domo mbona nyinyi mnaanzisha thread za kijinga tuna vunga
Kiki zote zimeisha mjini sijui atatumia kiki gani tena ili atoke maana kwa kiki yule jamaa tungeshamsahau kama sio kiki
Kwndraaaaa domo kitu ghanii
Support sio yeye tu analalamika hata domo analalamika watu hawampi support wanangoja watoe hongera tu
So unafiki upo tu katika bongo fleva #nagharamia
Domo aka Mr President..
Muulize King kiba akienda nchi za nje huwa anawaelezea vipi Tanzania, lazima useme Diamondplatnumz country ndio wanakuelewa!!
Kumuongelea diamond ni kuumiza Kichwa tu bure mana sio wa kushuka Leo wala kesho wala mtondogoo labda kdg 2020 atakua anamuachia harmonize aendeleze jahazi yeye apumzike