Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

#Nagharamia# ni nyimbo ambayo wasanii wawili wanashindana kupandandisha sauti haiwezi kumtisha diamond hata kidogo

Zile zinaitwa KEY wachache wenye uwezo ule na ni wachache wanaoweza kupanda namna ile ukilazimisha unaweza kukohoa Santa au kujamba au haja kubwa
 
wambie hao Kidingi(fatherly).
Maajabu atakayoyafnya platnumz nyi twendenu tu.!!!
 
Last edited by a moderator:
wambie hao Kidingi(fatherly).
Maajabu atakayoyafnya platnumz nyi twendenu tu.!!!

Chibu ni mtu mbaaaaya sana.. Ndani mizigo ni mitatu yenye video tayari, na ninachomkubali hana ushamba kama team mchangani kwamba anavyoshoot anapigapiga mipicha yeye kitu kashoot kimetulia anasubiri wakati wa kuchagua ipi afumue

Mfano mwepesi NANA alishoot mwaka jana 2014 walipoenda tuzo za MTV (ilikuwa july) ila akaja kutoa mwaka huu 2015 may ilikuwa ni kuangalia tu nitoe kipi kwa muda upi.

Sasahivi tunaipa muda aiyola, ikifika tar 25 hivii dude linaachiwa
 
Last edited by a moderator:
Kuna msanii nliye mkubali ka Bin Wasafi nazani hakuna.Bado tupo naye na tutakuwa nae alipo tupo,tulipo yeye yupo,kosa yeye Mziki wetu usingefika mbali kama sasa naye bin dangote ni mwanzili shi wa kila kitu kwa mziki wa sasa.
Roho mbaya kama nini!
 
Ndugu zangu sielewi kabisa, huyu jamaa Nasib mzee wa kick na skendo watu wamempuuza sana, anatumia gharama nyingi kutengeneza video kali lakini watanzania wanaishia kuipongeza video na sio nyimbo tena.

sasa hivi jamaa anachojivunia ni video kali na kukata mauno tu kwenye waimbaji bora hayupo kabisa, ukisikia kama ni tuzo yeye atabeba tu kipengele cha video bora ambapo kimsingi ni juhudi za director, pia utasikia kabeba tuzo ya mnenguaji bora ambapo kimsingi hata twanga pepeta hata wao wakikomaa watachukua.

Jamaa nyimbo zake zinaingia top 10 kwny tv na station zile zile tu huko nje kwa wachumia tumbo lakin huwezi kusikia hata siku 1 akishika chat hapa bongo kwanini?

Skendo sasa hamna hata kick ya kudandia hana tena, vya kupost hana maana kama ni kick ya tiffah basi kashazaliwa, kama ni wema basi mwenzake kashapata mtu wake.

Kijana hajui kick gan atokee, anajarbu kumchokonoa mfalme kiba, ila ndo hivyo kashazibwa mdomo na #Nagharamia sasa kabakia tu kupanick insta ooh i swear sijui nikifa hahahaha

Watanzania kwanini mmempuuza Nasib?

Hahaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂 huwezi amini nimekucheka balaa huku niliko..Nimekutusi pia kimoyomoyo.. Anyways.. Nasikia Video ya ngoma yenu mpya mmeshindwa kumalizia chapaa a.k.a kimango so jamaa kakaza hawapi hadi mmalizie chambi zilizosalia? And BTW..hivi unataarifa Nagharamia imeshindwa hata kuipiku collabo ya Christian Bella na Linnah na ile ya Kassim Mganga pia? 😂😂😂😂 pole sana
 
Yupo Nigeria sasa hivi,ameenda kwenye tuzo za AFRIMA za huko Nigeria.
 
Mletamada kingine kikubwa, huo muda unaopoteza kwa diamond mngetumia kumshauri mtuwenu awe na mahusiano mazuri na wenzake

Nadhani kwa tathmini ya haraka umeona jinsigani alivyokosa support kwenye wimbo huu ni kama yeye na bella na jokate tu, kila siku mkiambiwa kijamaa kinadharau mnabisha haya ndio matokeo yake anakosa support ya kutosha

Ngojeni king of afropop aje kufumua vitu

cc. pwilo nifah cute b

Kwndraaaaa domo kitu ghanii
 
Support sio yeye tu analalamika hata domo analalamika watu hawampi support wanangoja watoe hongera tu
So unafiki upo tu katika bongo fleva #nagharamia
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnatukana sana team domo mbona nyinyi mnaanzisha thread za kijinga tuna vunga
Kiki zote zimeisha mjini sijui atatumia kiki gani tena ili atoke maana kwa kiki yule jamaa tungeshamsahau kama sio kiki
 
hahahahaha umenikumbusha bwana misosi nitoke vipi

Kijana Diamond level aliyopo unaielewa vizuri sana, unajuwa vizuri kila anachofanya lazima kivunje rekodi yake..

Tuliaa, vitu vizuri viendelee kuflow, maji hufuata mkondo wake na sasahivi media tour hatufanyi Africa tena tunaenda marekani!!!!
 
Support sio yeye tu analalamika hata domo analalamika watu hawampi support wanangoja watoe hongera tu
So unafiki upo tu katika bongo fleva #nagharamia

Sawaaaa, ila unaweza ukaangalia hata kwa kulinganisha aiyola ya harmonize na nagharamia jinsi mastaa walivyokuwa wanatoa support utaelewa nini nilizungumza..
 
Domo aka Mr President..

Muulize King kiba akienda nchi za nje huwa anawaelezea vipi Tanzania, lazima useme Diamondplatnumz country ndio wanakuelewa!!

Aaahhh wapiiiii kiba ndio mpango mzimaaaa
 
Kumuongelea diamond ni kuumiza Kichwa tu bure mana sio wa kushuka Leo wala kesho wala mtondogoo labda kdg 2020 atakua anamuachia harmonize aendeleze jahazi yeye apumzike
 
Kumuongelea diamond ni kuumiza Kichwa tu bure mana sio wa kushuka Leo wala kesho wala mtondogoo labda kdg 2020 atakua anamuachia harmonize aendeleze jahazi yeye apumzike

Tena 2020 mapema sanaa! maana atakuwa kwenye miaka kama 31 hiviii hapo ndio atakuwa kwenye fire vibaya mnoooo, labda 2025 hivii
 
Back
Top Bottom