Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wallah siku ukiniweka wewe kwenye ignore list, nafunga account ya JF na siingii tena! Yaani in short, nitasusa moja kwa moja!

hahaaaaaaaa naanzaje kukuweka huko.. that will be tha last thing to do nikiwa member wa JF
 
hahaaaaaaaa naanzaje kukuweka huko.. that will be tha last thing to do nikiwa member wa JF
Hapo sasa... yaani HoE huyu huyu ambae anajua kabisa kwamba nikimuona tu, najiskia rahaaaaa, halafu leo aniweke kwenye ignore list!!! Wallah, siku ikija kutokea nafanya kama nilivyosema au nitatafuta hadi unakoishi nije kupiga magoti... kama PNC vileeee!!!
 
mkuu hii kitu kwa sisi tunao tumia simu naona inakua ngumu sana hizo icon hazionekani wala nini hata uki request "desktop view" hazionekani pia.
 
Single mpya iyo dogo kafunguka kua Diamond ndie Role model wake katoa single kwa jinsi anavyo be inspired na diamond....anaitwa Meda
 
Attachments

  • 1416376570255.jpg
    79.7 KB · Views: 907
mkuu hii kitu kwa sisi tunao tumia simu naona inakua ngumu sana hizo icon hazionekani wala nini hata uki request "desktop view" hazionekani pia.
Duh... basi huo mtihani na kv sijawahi kutumia simu ndo wala cfahamu kwa case kama hiyo mtu anatakiwa kufanya vipi!!
 
Nimeangalia video yake ukweli dogo anaimba vizuri sana na ata video nzuri.Kiwembe inabidi ampe support
 
Nimeangalia video yake ukweli dogo anaimba vizuri sana na ata video nzuri.Kiwembe inabidi ampe support

umeona eeh dogo anakimbiza sana ila ndo ivo ivi vitoto vikoshatoka tu Basi ni sheeeeeeeda naye atakua kiwembe kama domo
 
huyo dogo kama siyo kaotea basi atakuja kumfunika ha Diamond,lol
 
ukiona mtu an kimbia vita basi huyo ni wa kiume sio mwana ume.
 
Tafuta kichupa kipya cha mondi kimesimama sana lazma wakae tu safari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…