Kabisa hata mi nashangaa mbona yuko vizuri tu wanataka akae kimya mwaka halafu kurudi aanze kutafuta mabeef na watu kama wengine walivyorudi?Mbona ngoma zake zinabamba sana clubs na radio... Au nyie mko south sudan...
Mshaurini kiba atoe ngoma.. Diamond yupo ktk biashara banduguu...
Kwake yy game lishaiva na ukoko ushakaa chamsingi2 a change formation lasivyo atakua kama juma nature unasifika na nyimbo zako lakin sio kibao kipyaAyo ni maneno tu but akijipanga game bado bichi sana
Mmmhwachawi mpo wengi
Ww ni mswahili hujui hili gemu la kimataifa ni nn. Diamond alishaacha kufanya mziki mara kwa mara kuwafurahisha waswahili kama ww, na ndiyo sababu cyo lzm mziki wake uwe mzuri kwako, tofautisha mziki biashara na kaswida.Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Halafu Davido sio kwamba alikuwa kimya, kuna ngoma kama mbili alizitoa hapo kati zote zilifailSio kweli davido hajawai kukaa kimya kwa madhumuni ya kusoma game, bali mkataba wake na sony ndio uliokua unamyeyusha kwenye utoaji ngoma
Hapana anaweza kufanya kazi bila stress au kutafuta kiki kama akina zoro kimbute jikho man ay mwana fa prof jay nk!Unataka kunambia zama zake zinamekwisha
Ngimba jho ughweee! Z?Ughonile tata.!
Halafuuu.. ..kama zinafananaaa vileeee!!?Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
Kweli wanawake hampendani..povu lote hilo tatizo ni mwanamke mwenzio....hii chuki inakuumiza wewe zaidi kuliko wao....take it easy maa...Madai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.
maana tumeshachoka na drama zao kama rob na chyna
Kwa Mali alizonazo plas cash he is a bilionea now.Unawajua mabilionea ww ...ama unaongea ongea?
Basis ya thread yako ni nin....unamuonwa wivu zari au yuo have constructive advise ya kuwa awe scarce kidogo??Yaani diamond sijui kawaje yaani.....zamani alikuwaga mtu wa kucheza ma nyakati lkn tokea ampate huyu bibi yaani kawa kama kalogwa haoni wala hasikii atakuja kushtuka mda umeenda na lidem litampiga chini maana lile kwk lipo kiafter money na umarufu
Yeye anahisi anatukomesha ila anajikomoa mwenye atakuja kushtuka kumekucha
Huyu bibi anamwibia tuBasis ya thread yako ni nin....unamuonwa wivu zari au yuo have constructive advise ya kuwa awe scarce kidogo??
sasa mimi nikamuonee wivu zari kisa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli wanawake hampendani..povu lote hilo tatizo ni mwanamke mwenzio....hii chuki inakuumiza wewe zaidi kuliko wao....take it easy maa...
Ukweli hata mm naungana na ww huyu bibi anamnyonya sana msanii wetusasa mimi nikamuonee wivu zari kisa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em jifikirieni kidogo.
Diamond ni wakwetu tukiona ana drop na tunaona baadhi ya sababu tusiziseme?
kisa tunamuogopa mama Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Come on Nigga...!