we utakuwa mchicha mwiba 2 si ungekuja pmWw pita chini kama nchale umekuchoma.
Bichi kwa maana kwamba bado atakuwepo kwenye gemu, ila kiwango chake bora kabisa kilishapita, ni kama akina Nature au Mwana FA walivyo bado kwenye gemu.Ayo ni maneno tu but akijipanga game bado bichi sana
Mwanzoni zilikuwa hazitafutwi, zinakufikia popote ulipoJamaa yuko vzr mbaya kuliko recent katoa I miss you na fire zitafute utz unatusumbua sana ndio maana tunajitoa ufahamu kutoona mafanikio yake
Apunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Ndo upeo wako wa kuwaza umeishia apo tuna safari ndefu sanaAache tu kuimba karaoke....arudie biashara yake ya karanga.
Hicho ndio ninachostrugle kukifanya- Washapata wameridhika labda, kila kitu hakiko serious kwa sasa
- Utunzi wa mashairi umeshuka na ukijumlisha na ubovu wa maproducers ndo hakuna kitu
- Kuigiza kinigeria mpaka kero mpaka majina, beats na lafudhi
- Ukijumlisha na drama za maisha zisizokuwa na mpango zinapunguza credit kabisa
- Ila sema kwa sasa wasanii wengine hawako serious kubadili upepo wa game, game bado ni lile lile lililotengezwa na domo lililojaa KIKI, BEEF na DRAMA
USHAURI:Ajitokeze msanii asiendekeze drama ila awe na ubunifu kama wa domo enzi za KAMWAMBIE, MBAGALA, MOYO WANGU si akopi abuni kivyake yaani atoke tofauti. Then awatumie maproducer wachanga akue taratibu then ghafla mbona GAME analibadili faster.
- MIDUNDO, DRAMA, LIFESTYLE ya Wasafi ishakoma haina mwendelezo tena.