Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

machozi ya Qboy msafi hayatamuacha salama hata kidogo. unapofanikiwa ukaanza kuwatenga walokusaidia na kushikamana na waliokudandia kwenye mafanikio (kina salamu) kuna kalaana fulani hivi katakusumbua tu.
 
Ayo ni maneno tu but akijipanga game bado bichi sana
Bichi kwa maana kwamba bado atakuwepo kwenye gemu, ila kiwango chake bora kabisa kilishapita, ni kama akina Nature au Mwana FA walivyo bado kwenye gemu.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yuko vzr mbaya kuliko recent katoa I miss you na fire zitafute utz unatusumbua sana ndio maana tunajitoa ufahamu kutoona mafanikio yake
Mwanzoni zilikuwa hazitafutwi, zinakufikia popote ulipo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kilichobaki akamuimbie Bashite tu nyumbani kwake.Kanitoka sana toka ajiingize kwenye siasa chafu
 
Sheria ni kauli za wenye mamlaka taifa lipo kwenye upofu mkubwa hivi yapo mawazo ya baadae kweli kwa hali hii

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Nisipo ichukua kwa mkono wa kulia nitaichukua kwa mkono wa kushoto. Nyimbo Tatu kwa mwezi mmoja hakujawahi kumwacha MTU salama

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.

Aache tu kuimba karaoke....arudie biashara yake ya karanga.
 
- Washapata wameridhika labda, kila kitu hakiko serious kwa sasa

- Utunzi wa mashairi umeshuka na ukijumlisha na ubovu wa maproducers ndo hakuna kitu

- Kuigiza kinigeria mpaka kero mpaka majina, beats na lafudhi

- Ukijumlisha na drama za maisha zisizokuwa na mpango zinapunguza credit kabisa

- Ila sema kwa sasa wasanii wengine hawako serious kubadili upepo wa game, game bado ni lile lile lililotengezwa na domo lililojaa KIKI, BEEF na DRAMA

USHAURI:Ajitokeze msanii asiendekeze drama ila awe na ubunifu kama wa domo enzi za KAMWAMBIE, MBAGALA, MOYO WANGU si akopi abuni kivyake yaani atoke tofauti. Then awatumie maproducer wachanga akue taratibu then ghafla mbona GAME analibadili faster.

- MIDUNDO, DRAMA, LIFESTYLE ya Wasafi ishakoma haina mwendelezo tena.
Hicho ndio ninachostrugle kukifanya
 
Asimamamie WCB kwa sasa ili ahakikishe ina muingizia faida .....apumzike kwa muda na kwa msanii kama Diamond hawezi kupotea kirahisi...kwa sababu anajua kupangilia mashairi na sauti umri bado una mruhusu.......!

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
 
huyu dogo bado ana siku nyingi za kusumbua kwani alisha achia ngoma ngapi mbovu na akarudi tena

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ngoma ya Diamond "Fire" kuna mstari anayesema "wananitabiria kushuka ila wao ndio wanachina" Tanga kunani...

Ukisoma comments nyingi humu zimejaa wivu,chuki dhidi ya Diamond.

Mwaka wa Tano mnamtabiria kushuka lakini mwenzenu ndio anazidi kupaa.

Wasanii wooote Tanzania na wengine Afrika Mashariki na kati Diamond kawazidi kwa kila kitu.

Nyimbo 10 zilizotizamwa sana youtube Tanzania mpaka leo za Mond zipo nane, kwenye top 20 za wasafi zipo 13.

Diamond kashawapiga gap la maisha mmebakia kumchawia kwa majungu. PAMBANENI NA HALI ZENU.
 
Back
Top Bottom