Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


kama kuna watu waliosemwa sana humu jf basi warumi hakosi top 5, najua kuna watu wanaongeaga sana kuhusu mimi, kama kuumia nimeshaumia sana

Kuna watu hata nikiwaweka kwenye ignore list hawanipunguzii chochote, kuna watu wengi wanaonizunguka na wanaoni support. Na kitu ambacho sikiwezag ni kufuatilia mambo ya members wengine humu JF. Mtu ambaye nimemzoea to the maximum ni Dinazarde tu, yan kama kawa dada yangu, tunaongea vitu vingi sana ila wengine sina ukaribu nao wa kihivyo zaidi ya kuchat tu jukwaan basi, so kwangu kumuweka mtu kwenye ignore list sio kazi sana, na uwa sipendi kufuatilia nani kaandika nini kuhusu mim, labda mpaka unifuatilie sana kwa kunitukana au kuchangia thread zangu mara nyingi ndo nita consider the rest hawanihusu wala i dont care
 
Last edited by a moderator:
Mabom ya mchozi yapigwa jijini mwanza kuhusiana nawamachinga kupisha katika maeneo husika.
 
diamond n kboko yaan ukimtaja tu kwenye nymbo yako au ukshndana nae kwa vyovyote lazma uwe maarufuu.dogo kakamata fursa
 
Hapana Chezea Dai jamani tushasemaaaaa mukubali tuu(magari's voice)
 

jamaa unamaneno wewe balaaaaaa
 
platinummmmmmmn achia hiyo mashineeeee tuwashikeeeww
 
ha ha ha kijana una mzuka kweli kweli.

Jamaa namkubali sana nimepoga kula 200 now nataka nisajiri lain ingine jamaa namkubali only nasikiliza nyimbo za dia, na gospel kwa sanaaaaa.......
 
Jamaa namkubali sana nimepoga kula 200 now nataka nisajiri lain ingine jamaa namkubali only nasikiliza nyimbo za dia, na gospel kwa sanaaaaa.......

dakika chache zilizo pita nilikua you tube nacheki video na show mbali mbali za mond daah jamaa noma ana jua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…