Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 658
Hivi uwezi ku comment bila matusi?Unatudhalilisha sana mashabiki wa ukweli wa Diamond....
kuna tusi hapo mkuu? nitajie nilipo tukana ni wapi?
sema nikichokozwa nina kua na maneno makali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uwezi ku comment bila matusi?Unatudhalilisha sana mashabiki wa ukweli wa Diamond....
Hii kitu bhana, JF wanatakiwa ku-improve setting zake!! Hivi umeshawahi kuona ama kusikia mtu anapita mahali halafu watu wanaanza kumcheka kichini chini... jamaa anajiuliza, hawa wanacheka cheka nini... hana jibu, kumbe, zipu ipo wazi na mjomba anachungulia lakini jamaa hana habari!!!!!!
Sasa basi, assume umemweka Dinazarde kwenye ignore list... c unajifanya umesusa, JF wanasema Poa, kwavile umesusa basi kila anachoandika Dinazarde hutakiona NG'O lakini wewe ukiandika, Dina anaku-enjoy kama kawa... uliyesusa si wewe, kwani yeye!!!
Now assume, umejishembendua shembendua hapa halafu Dina akakupa makavu live... yale yale ya kuumiza hadi kwenye mishipa ya damu!! Utashangaa tu kutuona akina NasDaz kila tukikuona tunaanza kucheka chini chini... hujui kulikoni, huku tukiziba midomo kwa viganja vya mkono ili tusitoe sauti!! Sasa akitokea mbeya mwenzako aliyekubuhu akaamua kuua kabisa na kusema "Dina bhana, wala siamini... yaani warumi huyu huyu ndo kafanya hayo mambo, mungu wangu, yaani nilikuwa namuona wa maana kweli...!!" Dah... si kukuuma huko... manake wala hujui Dina kapiga mashuti gani...! Unaweza kujikuta baada ya dakika tano unaenda kumtoa kwenye ignore list ili uone kinachowafanya watu wacheke chni chini kila wanapokuona!!!!
Hiyo inaitwa UKISUSA, WENZIO TWALA!
Tuko pamoja mkuu.....Diamond 4reverkuna tusi hapo mkuu? nitajie nilipo tukana ni wapi?
sema nikichokozwa nina kua na maneno makali.
Tuko pamoja mkuu.....Diamond 4rever
Mabom ya mchozi yapigwa jijini mwanza kuhusiana nawamachinga kupisha katika maeneo husika.
Hii kitu bhana, JF wanatakiwa ku-improve setting zake!! Hivi umeshawahi kuona ama kusikia mtu anapita mahali halafu watu wanaanza kumcheka kichini chini... jamaa anajiuliza, hawa wanacheka cheka nini... hana jibu, kumbe, zipu ipo wazi na mjomba anachungulia lakini jamaa hana habari!!!!!!
Sasa basi, assume umemweka Dinazarde kwenye ignore list... c unajifanya umesusa, JF wanasema Poa, kwavile umesusa basi kila anachoandika Dinazarde hutakiona NG'O lakini wewe ukiandika, Dina anaku-enjoy kama kawa... uliyesusa si wewe, kwani yeye!!!
Now assume, umejishembendua shembendua hapa halafu Dina akakupa makavu live... yale yale ya kuumiza hadi kwenye mishipa ya damu!! Utashangaa tu kutuona akina NasDaz kila tukikuona tunaanza kucheka chini chini... hujui kulikoni, huku tukiziba midomo kwa viganja vya mkono ili tusitoe sauti!! Sasa akitokea mbeya mwenzako aliyekubuhu akaamua kuua kabisa na kusema "Dina bhana, wala siamini... yaani warumi huyu huyu ndo kafanya hayo mambo, mungu wangu, yaani nilikuwa namuona wa maana kweli...!!" Dah... si kukuuma huko... manake wala hujui Dina kapiga mashuti gani...! Unaweza kujikuta baada ya dakika tano unaenda kumtoa kwenye ignore list ili uone kinachowafanya watu wacheke chni chini kila wanapokuona!!!!
Hiyo inaitwa UKISUSA, WENZIO TWALA!
diamond juuu piga kuraaaaaaaa newgifted haashaa
ha ha ha kijana una mzuka kweli kweli.
ha ha ha kijana una mzuka kweli kweli.
Jamaa namkubali sana nimepoga kula 200 now nataka nisajiri lain ingine jamaa namkubali only nasikiliza nyimbo za dia, na gospel kwa sanaaaaa.......
Chibuuuuuuuu Juuu