Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nasubiri kesho kuisikia hii ngoma! Bila shaka imefanyiwa maboresha ya aina yake! Kupitia hii ngoma naweza ni kakubali au kukataa kuwa Diamond ni muimbaji bora kwa miaka mitatu mfululizo kama sio minne kwa kutoa hit songs mfululizo!
 
Attachments

  • 1416416244044.jpg
    40.8 KB · Views: 114
Kesho panapo uzima In Shaa Allah saa4 hiyo tutapata Zawadi yetu
 
diamond bhana aktoa nymbo wapenda burudan wa nch nzma wanakuwa attetion kuucklza.kwel diamond star
 
hii ngoma angetoa remix na amshirikishe diamond…itakimbiza balaa
 
Ana kwambia Hii ni sauti ya Raisi,iliyo mshinda kuiga mpaka ibirisi, alafu ni lazima ujue kutofautisha kuna X na +
 
Nyimbo imepigwa MTV base,Video ya Maana sanaaa

Asante Dai
 
jamani nisaidie kidogo hivi romy Jones ni kama nani kwa diamond con naona kila alipo D romy J hakosekani,halafu kwenye show ya june mwaka huu kule brussels belgium naona jamaa kama ni dj kwenye hiyo concert.
 
kba huko alpo pia anaisubria hyo ngoma kwa hamu,bla shaka m.a.v.i yanagonga boxer

kiba ata subiri sana tena sana nasema kimuziki kwa diamond kiba alazwe pema peponi....sema amina
 
Nasubiri kesho kuisikia hii ngoma! Bila shaka imefanyiwa maboresha ya aina yake! Kupitia hii ngoma naweza ni kakubali au kukataa kuwa Diamond ni muimbaji bora kwa miaka mitatu mfululizo kama sio minne kwa kutoa hit songs mfululizo!

stay tuned buddy....utakubali tu.
 
na wajitokeze wale wanao tangazaga kuibiwa nyimbo zao....mond kiboko huyu mtu.
 
Umejitia kimbelembele kufungua thread ya kujifanya kumpa ushauri domomond SAA hz mnaanza jadili watu
This time KiBA is here to stay mtachonga Sana ila ndoo anzidi kupata kick

Mwendawazimu kaingiaje ha ha ha are u still here?
 
jamani nisaidie kidogo hivi romy Jones ni kama nani kwa diamond con naona kila alipo D romy J hakosekani,halafu kwenye show ya june mwaka huu kule brussels belgium naona jamaa kama ni dj kwenye hiyo concert.

dj , tour manager
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…