Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wakati tukikabiliwa na zoezi la kumpigia kura Diamond tuzo za Channel O na AFRIMA za Nigeria, Amekua nominated tena kwenye tuzo zingine za Nchini Humo kipengere cha best african Artist. Tutaendelea kuwajuza taarifa zaidi za Tuzo hizi,
ila kumpigia kura kwenye tuzo za channelo bonyeza link hii ( Channel O Africa Music Video Awards | 2014 ) itakayokupeleka kwenye categories,chagua categories ninazoshindania (#MostGiftedAfricaneast #MostGiftedNewComer #MostGiftedafropop na #MostGiftedVideoOfTheYear ).

Utatakiwa kujisajili kwa namba ya simu ama email chagua njia unayotaka mfano kwa namba ya simu, ingiza namba ukianza na +255 watakutumia code, ingiza code hizo na utakuwa na uwezo wa kulogin na kuvote, njia nyingine ni kupitia WE CHAT app;

Kama una smart phone, download, tengeneza profile ukitumia namba yako ya simu kisha search 'CHANNELOTV" kisha fuata maelekezo utatakiwa uweke namba ya simu yako ukianza na code mfano +255762052850,watakutumia code, ziingize na utakuwa tayari kunipigia kura kwa categories zote nne.

Ahsanteni.
 
Attachments

  • Tuzo.jpg
    38.9 KB · Views: 467
jamani nisaidie kidogo hivi romy Jones ni kama nani kwa diamond con naona kila alipo D romy J hakosekani,halafu kwenye show ya june mwaka huu kule brussels belgium naona jamaa kama ni dj kwenye hiyo concert.

Mama yake Diamond na mama yake romy jones ni mtu na dada yake toka nitoke... romy anamuita mama mond mamamdogo na ndo kamlea romy kwan mama yake romy anaishi south afrika.
 
Mama yake Diamond na mama yake romy jones ni mtu na dada yake toka nitoke... romy anamuita mama mond mamamdogo na ndo kamlea romy kwan mama yake romy anaishi south afrika.
Anhaa hapo sasa nime elewa vyema kabisa.
 
jamani nisaidie kidogo hivi romy Jones ni kama nani kwa diamond con naona kila alipo D romy J hakosekani,halafu kwenye show ya june mwaka huu kule brussels belgium naona jamaa kama ni dj kwenye hiyo concert.

ni dj wa diamond kila anapopiga show
 
Hii habari sio nzuri kwa timu dushelele, hongera Diamond ngoja niendelee kukupigia kura.
 
ni dj wa diamond kila anapopiga show

Ndio romy ni dj wa diamond na kipindi kile diamond anatoa video ya mbagala alimpa shavu jones, kwenye ile video ndo yule mkaka anatokelezea na mtoto mzuri huku diamond akilalamika kuwa mtoto kamfata mchizi mambo safi kisa yeye mond ni mtoto wa uswazi, hapa nyumba mbele jalala. Na ile video ikampatia shavu la kufanya kazi radio clouds na pale ndipo alipojifunzia u-dj, sema hakufanya kazi mda mrefu wakawa wamemtimua baada ya kushindwana naye.
 
ok afadhali umetuelewesha wengi tulikuwa hajui maana jamaa yuko pembeni ya dai kama wallet
 
tutapiga kura mwaka huu mpaka akili zituishe lakini ndo alobakia maana hakuna mpira maana wanatuzingua tuu bongo movie ndo balaa
 
acha izo wimbo mzuri
kweli nakwambia. mi ni mshabiki wa diamond na nyimbo ya kesho ndiyo naamini ndiyo kazi yake nzuri kabisa. sikuhizi natamani almasi ajifunze kupiga gita au kinanda, mara!! anatokea mnyalukolo anaimba sijui vitu gani? aargh.
 
hapo nimekupata mkuu
 
Haya sasa.......wacha movie iendeleeeeeee

Attachments

  • 1416459616871.jpg
    79 KB · Views: 1,426
Mambo ya mahaba niuwe
 
Attachments

  • 1416459673538.jpg
    55.2 KB · Views: 783
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…