heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Wakati tukikabiliwa na zoezi la kumpigia kura Diamond tuzo za Channel O na AFRIMA za Nigeria, Amekua nominated tena kwenye tuzo zingine za Nchini Humo kipengere cha best african Artist. Tutaendelea kuwajuza taarifa zaidi za Tuzo hizi,
ila kumpigia kura kwenye tuzo za channelo bonyeza link hii ( Channel O Africa Music Video Awards | 2014 ) itakayokupeleka kwenye categories,chagua categories ninazoshindania (#MostGiftedAfricaneast #MostGiftedNewComer #MostGiftedafropop na #MostGiftedVideoOfTheYear ).
Utatakiwa kujisajili kwa namba ya simu ama email chagua njia unayotaka mfano kwa namba ya simu, ingiza namba ukianza na +255 watakutumia code, ingiza code hizo na utakuwa na uwezo wa kulogin na kuvote, njia nyingine ni kupitia WE CHAT app;
Kama una smart phone, download, tengeneza profile ukitumia namba yako ya simu kisha search 'CHANNELOTV" kisha fuata maelekezo utatakiwa uweke namba ya simu yako ukianza na code mfano +255762052850,watakutumia code, ziingize na utakuwa tayari kunipigia kura kwa categories zote nne.
Ahsanteni.