Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Na vumbi litafutwa na mwenye vumbi

huna maji huna sabuni huna taulo, unawezaje kufuta vumbi sasa?? hihihihi umepanda treni ya kwenda mujini huna nauli???? watu tumesimama kituoni mwezi wa ngapi huu sijui@dinazarde embu nikumbushe, mtu hufiki, kumbe ulisharidishwa kigoma siku nyingi.
tunakupa second chance nenda kajipange upya kumbuka kubeba nauli yako acha kutegemea lift, na hela ya kula karanga njiani manake safari ni ndefu na wenzio wamefika mbali.
 

Hii ni sauti ya raisiiiiiiiii ilomshindagaga ibilisiiii,,kwa mwanadamu sio rahisiiiii
 
Hii ni sauti ya raisiiiiiiiii ilomshindagaga ibilisiiii,,kwa mwanadamu sio rahisiiiii
We dadake Bwana Mcharo una shida kweli... ungejua hiyo minyama nyama yenu mnayoturingishia kila siku mwisho wake minyoo, wala msingetutambia hapa!!
 
Mhh do go kajitahidi nyie kizazi cha nyoka link mtakuwa wakweli ndio nyie huko mitaani mnatupa shida tukipika kuku Wa kienyeji bado mtasema tumepika paka huku mkijua paja LA kuku na paka halifanani
 
Ali ataachia video lini au yuko kukopa anasubili kukamilisha contract na finca ili atoe video mwambie basi nimefika nilisije likamwacha tena .....

kiba atabaki kua queen kwa diamond.
 

habari njema hii....mwanadaresalama nae vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…