Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

mataa wa pili wan a lip Ana hela ili kujaza thread wameonamwendo wetu mdundo
 
Asee mbona rais karudia mavaz aliyotoa nao video aliyomshirikisha iyanya.....
 
kuna mmoja aliniomba nimtumie ile video anaipenda balaa cha ajabu uki mkuta kule kwenye uzi wao ana mdomo mreeefuuu kumbe kwenye simu yake caller tune ni track ya diamond.
 
jaman malumbano ya nini? muziki huu wa
bongo ni watanzania na wasanii ni wa kwetu
pia.. tukiendeleza siasa namna hii hatujengi,
tutabaki hapahapa tulipo.. kuna wasanii
wengi sana wazuri tanzania bado wanahitaji
attention na support yetu, mbona wenzetu
nigeria wanapeana tafu bila kuweka pande
mbili tofauti? marekani pia? if kiba hajatoa
video mpaka leo hilo ni la menejimenti yake
tuwaachie hao, na diamond nae katoa wimbo
mpya tuusuport pia na tukumbuke hili wiki
barnaba na vanessa wametoa wimbo wa siri,
young killer ft. fid q, songa, na wengine.....
tuupende mziki wetu na tupendane sisi kwa
sisi na tukumbuke media ni kitu kimoja
chenye nguvu sana tusitumie vibaya..
 
kuna mmoja aliniomba nimtumie ile video anaipenda balaa cha ajabu uki mkuta kule kwenye uzi wao ana mdomo mreeefuuu kumbe kwenye simu yake caller tune ni track ya diamond.
Naona unahaha kama mbwa jike aliye kwenye heat! Tulia kijana unyolewe nywele kote kote.
 
kaa kimya wewe kama hujui muziki bora uondoke tu ukanywe viroba.
 
Naona unahaha kama mbwa jike aliye kwenye heat! Tulia kijana unyolewe nywele kote kote.

We tukana tu unavyo penda ila jua tu sito kujibu kwa lolote mwisho wa siku utajiona ms##nge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…