Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #981
Naona unahaha kama mbwa jike aliye kwenye heat! Tulia kijana unyolewe nywele kote kote.
walisema uzi ume doda ha ha ha cheki wiki mbili tu page hamsini na hakuna kupeana ofa huku ili kujaza page.
Chinga One hao jamaa achana nao Mkuu.
Umeona eehh! Hapa ni kazi tu.
Vitendo zaidi...
Hako kajamaa kashamba sana kana nifata fata sana aisee naka potezea tu.
Nitampata wapiiiii ipo juuuuu sichoki kuisikilizaa
Nitampata wapiiiii ipo juuuuu sichoki kuisikilizaa
h ndio sauti ya raisssss ilomshnda mpaka ibilisi kwa binadamu sio raisi
Bado ananijia nikilalaa
Bado ananijia nikilalaa
upande ule umejaa watu flani hivi wanafiki wanapenda kujadili watu wameshindwa kumpa sapoti mfalme wao uchwara wana jadili maisha binafsi ya watu,wamfundishe mtu wao jinsi ya kuvaa aonekane kisanii sio kama muuza chipsi.

mbeba zenge bhana ninapofanya concrete mix anasaidia kazi huyu boya
yaan hawana cha kujadl zaid ya diamond na maisha ya watu,mwanzo mwsho n diamond tu,kumbe wanazpenda story zake
kile kipande cha tatizo nyotaa,kina mvuto flani hauelezeki.