Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

sred is moving hope yule mtoto mchele mchele hajarudi tena humu ndani ndio maana kupo shwari humu ndani.
 

wazo nililo nalo ni kwamba zifanyike jitihada kumpata diamond au management yake waje live kwenye hii thread ili waweze kuchat na kujibu maswali mbali mbali ya fans,pia itakua wakati muafaka wa wewe fan wa diamond kutoa ushauri wako kwake,nadhani hii kitu ina weza kuboresha mambo mengi sana.

Chinga One, el nino service zai katoto Dinazarde, data Eshy m.s kimugina mxsdk chige binti kiziwi.
mnaonaje hii idea?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

bonge la idea Spiderman Moderator Invisible tafadhali ipandisheni hii post kwenye thread mama hapo iwe kama update.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…