good idea, je tutawapataje sasaa??
Hiyo ndio changamoto but mi binafsi nina mfollow tale,fella na mond mwenyewe kweny instagram nita jaribu kuwacheki mara kwa mara.
Mkuu opera humu kuna mpiga picha wa diamond jinalake limenitoka kidogo anaitwa heaven on desert sijui kitu kama hio.. ni vema akaongea na diamond ili afungue akaunt jf then ashiriki hapa na fans wake...
Anhaa yule jamaa ana jiita kiface?
huyu jamaa hapatikani sana humu ndani.
Yupo busy anapiga picha
Nitafurai sana ikitokea hivyo, atenge hata saa moja tu kwa siku ya weekend itakua poa zaid.Bila shaka tuta fanikisha kuwapata wahusika.
Nitafurai sana ikitokea hivyo, atenge hata saa moja tu kwa siku ya weekend itakua poa zaid.
kule wanajfanya wana maneno ya shombo so nkijprtend ustaarabu watanpanda kchwani.ngoja tukapeane makavu laivu so nkpgwa ban bac nyie endeleen kulisongesha mdogomdogo
kule wanajfanya wana maneno ya shombo so nkijprtend ustaarabu watanpanda kchwani.ngoja tukapeane makavu laivu so nkpgwa ban bac nyie endeleen kulisongesha mdogomdogo
We baki huku huku kule unafata niniii,,,,matusi ya humu yasikupe preshaaa
matusi hayanipi presha kabsa yaan juz tareh 14 ilkuwa ni siku ya hukumu yangu kutokana na mtu kukujbu vibaya then wewe ukimjibu unaonekana mbaya na kosa lilikuwa la hayo matusi so matusi cyaogopi tatizo ni kuwa mimi cjawatukana then wao wanajifanya wanayajua alafu mimi nilishawaonya kwamba siyataki ila mkiyataka poa tu
Achana nao baki huku