Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hiyo ndio changamoto but mi binafsi nina mfollow tale,fella na mond mwenyewe kweny instagram nita jaribu kuwacheki mara kwa mara.

Mkuu opera humu kuna mpiga picha wa diamond jinalake limenitoka kidogo anaitwa heaven on desert sijui kitu kama hio.. ni vema akaongea na diamond ili afungue akaunt jf then ashiriki hapa na fans wake...
 
Anhaa yule jamaa ana jiita kiface?
 
kule wanajfanya wana maneno ya shombo so nkijprtend ustaarabu watanpanda kchwani.ngoja tukapeane makavu laivu so nkpgwa ban bac nyie endeleen kulisongesha mdogomdogo
 
We baki huku huku kule unafata niniii,,,,matusi ya humu yasikupe preshaaa
 
matusi hayanipi presha kabsa yaan juz tareh 14 ilkuwa ni siku ya hukumu yangu kutokana na mtu kukujbu vibaya then wewe ukimjibu unaonekana mbaya na kosa lilikuwa la hayo matusi so matusi cyaogopi tatizo ni kuwa mimi cjawatukana then wao wanajifanya wanayajua alafu mimi nilishawaonya kwamba siyataki ila mkiyataka poa tu
 
ita pendeza sana kama hii kitu ita fanikiwa.
Kama utawasiliana nae mwambie Tibaijuka Zitto wamewai kuhojiwa humu kwa upande wa siasa hivyo yeye atakua wa Kwanza kwenye jukwaa pendwa la celebrities.

Anakaribishwa sana Jf.
 
Last edited by a moderator:
matusi hayanipi presha kabsa yaan juz tareh 14 ilkuwa ni siku ya hukumu yangu kutokana na mtu kukujbu vibaya then wewe ukimjibu unaonekana mbaya na kosa lilikuwa la hayo matusi so matusi cyaogopi tatizo ni kuwa mimi cjawatukana then wao wanajifanya wanayajua alafu mimi nilishawaonya kwamba siyataki ila mkiyataka poa tu

Achana nao baki huku
 
Diamond ndio habari ya Tanzania, ila watanzania wengi tuna wivu wa kipuuzi.
 
Duu raha sana kusoma comment! yani full vituko!
 
Back
Top Bottom