na huto tunne tunatobaki ndo wanagawana wooooooote!kati ya post kumi basi 6 zina muhusu diamond moja kwa moj hii ni dalili ya kua this kid ni icon wa music east africa.
"Ukimwonaa.. ukimwonaa.. tinti ntintiii tantantantaa tinti ntintii tanta ntwantwaa" (Gitaa la mwishoni pale)
Hata Mr. Nice alianza kabla ya Kiba... nilikuwa nahudhuria show za Mr. Nice wakati nasoma wakati kazi ya kwanza ya Ali Kiba niliinunua wakati nimeajiriwa... kwahiyo hapa hatujadili nani kaanza coz' hata huyo Kiba si miongoni mwa walioanza... wapo wa mwanzo kama Mr. Paul na Four Crewz Flavor yao , Da Young Mob, KU, DPT, WWA, n.k... hapa tunaongea kuhusu wanaokimbiza hivi sasa.. kajipange!
ali kiba ni kwa dar es salam but diamond ni kwa africa nzimaa
jiulize duly sykes na huyo kibaka nani alianza mziki?then jiulize nani ana hit singo tangu anaanza mziki then ukipata jibu ndo ujue nani ndo king wa bongo fleva
Hao haters tunawapa kick mkuu tulifanya makosa sana hadi leo hii post yao imefika pale maana ndo tulikuwa wachangiaji wakuu sasa ishu ni kuwaacha wamjadili msanii wao ambaye hana cha kujadiliwa zaidi ya kuanzisha bifu za ovyo
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo
Maringo yapi ndugu yangu? I hope hutasema habari za hotel za Mbeya coz' wote waliokuwa wameshika bango kwamba Diamond kaziponda hotel za Mbeya niliwaomba ushahidi wa wapi kaongea hayo maneno, hakuna aliyetoa ushahidi... lakini cha ajabu zaidi, Diamond ameshawahi kupiga show hadi Tunduma bila kutaja Lindi na Mtwara... sidhani kama huko kuna hotel mzuri kuliko za Mbeya! Usisikilize maneno ya watu jombaaa... watu kama wana husuda na wewe watakuzushia kila jambo!!!Jaman Diamond anakipaj Sana lakin maringo take yatamshusha soko
Asante sana...tatizo wanajua kuongea ila kuandika sifuri, hapo atakuwa kasikiliza kwenye series za dada ake anazoangalia kaiga makosa.
Nyie wote humu ni watoto wadogo sana kimziki.....naamini mmeanza kufuatilia music 2010+ after singo ya kamwambie!
Tena heri angekuwa first year tungesema alifaulu form vi...First year uta mjua tu ha ha ha.
Tena heri angekuwa first year tungesema alifaulu form vi...
Haa... wale nyie wapuuzeni tu! Dangote sasa ana view zaidi ya 415,000 wakati hata saa 100 hazijafika tangu video iwe uploaded... views zote hizo hakuna aliyelipwa hata sh. 500 watu wanaenda wenyewe kwa raha zao!! Tena bora wapeane hizo buku 20 ili waongeze bundle wakafaidi vizuri Nitampata Wapi ingawaje hawaji kutupa mrejesho!!!
Halafu kweli nampaisha tu kumbe ni jinga jinga flani hivi lina ishi mjini kwa mgongo wa dada yake i mean ana kula na kulala kwa shemeji yake.
daah usipo mpenda dianind basi uta msikiliza au kumtazama tu.utake ustake.
Wakati wengine wanaishia Mbezi Luis, wengine hadi hapa:Dar es salaam yenyewe ni k/koo tu.
We call them The Walking Disasters!Halafu kweli nampaisha tu kumbe ni jinga jinga flani hivi lina ishi mjini kwa mgongo wa dada yake i mean ana kula na kulala kwa shemeji yake.
nimeingia instagram kuna mchina katuma clip anaimba nitampata wapi...
ni checheeeee
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo