Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hata Mr. Nice alianza kabla ya Kiba... nilikuwa nahudhuria show za Mr. Nice wakati nasoma wakati kazi ya kwanza ya Ali Kiba niliinunua wakati nimeajiriwa... kwahiyo hapa hatujadili nani kaanza coz' hata huyo Kiba si miongoni mwa walioanza... wapo wa mwanzo kama Mr. Paul na Four Crewz Flavor yao , Da Young Mob, KU, DPT, WWA, n.k... hapa tunaongea kuhusu wanaokimbiza hivi sasa.. kajipange!

Mwambie huyo mshamba wa music
 
Hao haters tunawapa kick mkuu tulifanya makosa sana hadi leo hii post yao imefika pale maana ndo tulikuwa wachangiaji wakuu sasa ishu ni kuwaacha wamjadili msanii wao ambaye hana cha kujadiliwa zaidi ya kuanzisha bifu za ovyo

For sure mkuu tukienda kule tuna wapa cha kuongea,siendi tena kule kwao.
 
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo

First year uta mjua tu ha ha ha.
 
Jaman Diamond anakipaj Sana lakin maringo take yatamshusha soko
Maringo yapi ndugu yangu? I hope hutasema habari za hotel za Mbeya coz' wote waliokuwa wameshika bango kwamba Diamond kaziponda hotel za Mbeya niliwaomba ushahidi wa wapi kaongea hayo maneno, hakuna aliyetoa ushahidi... lakini cha ajabu zaidi, Diamond ameshawahi kupiga show hadi Tunduma bila kutaja Lindi na Mtwara... sidhani kama huko kuna hotel mzuri kuliko za Mbeya! Usisikilize maneno ya watu jombaaa... watu kama wana husuda na wewe watakuzushia kila jambo!!!
 
Tena heri angekuwa first year tungesema alifaulu form vi...

Halafu kweli nampaisha tu kumbe ni jinga jinga flani hivi lina ishi mjini kwa mgongo wa dada yake i mean ana kula na kulala kwa shemeji yake.
 
Haa... wale nyie wapuuzeni tu! Dangote sasa ana view zaidi ya 415,000 wakati hata saa 100 hazijafika tangu video iwe uploaded... views zote hizo hakuna aliyelipwa hata sh. 500 watu wanaenda wenyewe kwa raha zao!! Tena bora wapeane hizo buku 20 ili waongeze bundle wakafaidi vizuri Nitampata Wapi ingawaje hawaji kutupa mrejesho!!!

daah usipo mpenda diamond basi uta msikiliza au kumtazama tu.utake ustake.
 
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo

ndo shida ya kujifunza kimombo kwenye filamu za kibongo,makosa kibaooo
 
Back
Top Bottom