Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kabisa hicho ndicho kitu kilichonifanya nimkubali katika kazi zake. Anajituma kwa hali na mali ili kuhakikisha anaondokana na tatizo la umaskini. Ametokea from grassroots up to the top for his efforts.

Diamond ni kielelezo cha mafanikio kwa vijana watafutaji.....
 
jibu moja la akili sana hili mkuu Chinga One....afu ukimuona Paula kilaki mwambie dah heshima zake mingi sana!!
Mi ushauri wangu kwa sasa huu uzi uwe sticky!
 
Last edited by a moderator:
habari zote za chibu zipitie hapa ndo ziende kwingine....ilikuwa ni aibu kwa msanii mdogo kama kiba awe na special thread halafu dimond asiwe nayo

Nyinyi mtabakia kuwa ni watu wa copy and paste, mmeshindwa hata kumpa credit Matola kwa ubunifu mpaka na nyinyi mkavutiwa na kuiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…