Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kabisa hicho ndicho kitu kilichonifanya nimkubali katika kazi zake. Anajituma kwa hali na mali ili kuhakikisha anaondokana na tatizo la umaskini. Ametokea from grassroots up to the top for his efforts.

Diamond ni kielelezo cha mafanikio kwa vijana watafutaji.....
 
skia dada yangu Deo Corleone usiwe mwepesi wa ku assume,mi ndio nime anzisha huu uzi na nilipo sema upande wa pili nili maanisha haters wa diamond na wapinga maendeleo ya vijana wenzao kwa ujumla na hakuna nilipo taja kiba,sasa kama fans wa kiba mpo kwenye kundi la haters na wachukia maendeleo ya vijana wenzenu basi it z right for u to cry out louder.
jibu moja la akili sana hili mkuu Chinga One....afu ukimuona Paula kilaki mwambie dah heshima zake mingi sana!!
Mi ushauri wangu kwa sasa huu uzi uwe sticky!
 
Last edited by a moderator:
habari zote za chibu zipitie hapa ndo ziende kwingine....ilikuwa ni aibu kwa msanii mdogo kama kiba awe na special thread halafu dimond asiwe nayo

Nyinyi mtabakia kuwa ni watu wa copy and paste, mmeshindwa hata kumpa credit Matola kwa ubunifu mpaka na nyinyi mkavutiwa na kuiga?
 
Back
Top Bottom