Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ila hadi kijana aje aoe mama atakuwa kishaona wanawake wa kila rangi kwake make ni sheeeda

Madam....lakini psychology inasemaje hapo? Me nadhani ameathiriwa na baba na mama kuachana.....hivyo ye hapo haoni shida kuachana...kisaikolojia ana tatizo, anahitaji psychotherapy....

Ila mwanamke anayetaka kumkeep basi amzalie.....hatomuacha, Atalipizia mapenzi ya baba aliyoyakosa ....

Ni hayo tu Madamee. ....
 
ila ni muhimu asha uliwe maana maradhi siku hizi yamejaa asije bomoa njia aliyo jijengea...
 
ulivosema amzalie nkakumbuka nanii alivosema et wema muda wote yupo club akirudi mwili umechoka sa ngapi atabeba mimba ha ha ha, pamoja na hilo ila pia mwanamke wa kudumu nae asiwe star make hawa mastar mi naona maisha yao ni maigizo tu.
 
Sure....ila hata akiwa star hatoachwa ila ndo atamtesa Dai wetu kwa drama...

Refer Penny's saga alivyosemaga ana mimba.....ilikuwa shidaaa.....
 
ulivosema amzalie nkakumbuka nanii alivosema et wema muda wote yupo club akirudi mwili umechoka sa ngapi atabeba mimba ha ha ha, pamoja na hilo ila pia mwanamke wa kudumu nae asiwe star make hawa mastar mi naona maisha yao ni maigizo tu.

Jamaa kaachana na wema na tuzo za kuimataifa zina anza kumiminika yawezekana wema ana nuksi fulani hivi!?
 
Jamaa kaachana na wema na tuzo za kuimataifa zina anza kumiminika yawezekana wema ana nuksi fulani hivi!?

Halafu wanasema anasafiria nyotaaa ya Wemaa......wako wapi Leo? Hard work pays jamaniiiii....
 
Watajijua wenyewe...Sie shangwe zinatokea bondeniiiiiii....

Wasssssssssaaaaaaffffiiii.....

Ina furahisha sana halafu ili wajue mond huwa habahatishi kachukua tuzo tatu usifanye mchezo....... glass tatu bondeni doooh.
 
Kuna mtu kanichekesha kule et anawaambia mashabiki wa kiba wana moyo mgumuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…