Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Ila hadi kijana aje aoe mama atakuwa kishaona wanawake wa kila rangi kwake make ni sheeeda
Madam....lakini psychology inasemaje hapo? Me nadhani ameathiriwa na baba na mama kuachana.....hivyo ye hapo haoni shida kuachana...kisaikolojia ana tatizo, anahitaji psychotherapy....
Ila mwanamke anayetaka kumkeep basi amzalie.....hatomuacha, Atalipizia mapenzi ya baba aliyoyakosa ....
Ni hayo tu Madamee. ....