Halafu wanasema anasafiria nyotaaa ya Wemaa......wako wapi Leo? Hard work pays jamaniiiii....
Wenzio wana kiwewe....chezea tatu bilaaa...
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifaJamaa kaachana na wema na tuzo za kuimataifa zina anza kumiminika yawezekana wema ana nuksi fulani hivi!?
Ina furahisha sana halafu ili wajue mond huwa habahatishi kachukua tuzo tatu usifanye mchezo....... glass tatu bondeni doooh.
Kuna MTU alishaanza humu.....eti ooooh nasubiri category atayokuwa na Davido...category ilivyotajwa kashinda Dai......watu Oyooooooooooo........
Davido mwisho Lagos.....
Waye bogaaa
Nlikuwa nakutafuta mpiga kura wetu.......Hongera na wewe....
Karibu tucheze ngololooo......
Sijui nijipenyeze nikamzalie:becky::becky::mimba:Sure....ila hata akiwa star hatoachwa ila ndo atamtesa Dai wetu kwa drama...
Refer Penny's saga alivyosemaga ana mimba.....ilikuwa shidaaa.....
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifa
Dinazarde shikamooo diamondKuna mtu kanichekesha kule et anawaambia mashabiki wa kiba wana moyo mgumuuuu
Ina furahisha sana halafu ili wajue mond huwa habahatishi kachukua tuzo tatu usifanye mchezo....... glass tatu bondeni doooh.
Kuna MTU alishaanza humu.....eti ooooh nasubiri category atayokuwa na Davido...category ilivyotajwa kashinda Dai......watu Oyooooooooooo........
Davido mwisho Lagos.....
Kuna mtu kanichekesha kule et anawaambia mashabiki wa kiba wana moyo mgumuuuu
Wana roho ngumu si kidogo....
Hahahhahaha eti kapendelewa na cloud fm na ruge mtaaa wa pili
Wakimaliza boga wanye tikitiii......hapa Kazi tuuu....
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifa