Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamaa kaachana na wema na tuzo za kuimataifa zina anza kumiminika yawezekana wema ana nuksi fulani hivi!?
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifa
 
Ina furahisha sana halafu ili wajue mond huwa habahatishi kachukua tuzo tatu usifanye mchezo....... glass tatu bondeni doooh.

Kuna MTU alishaanza humu.....eti ooooh nasubiri category atayokuwa na Davido...category ilivyotajwa kashinda Dai......watu Oyooooooooooo........

Davido mwisho Lagos.....
 
Kuna MTU alishaanza humu.....eti ooooh nasubiri category atayokuwa na Davido...category ilivyotajwa kashinda Dai......watu Oyooooooooooo........

Davido mwisho Lagos.....

Halafu sionagi cha ajabu anacho imba davido kumzidi chibu labda kwa sababu ana tumia english lakini kwa maujuzi mond yuko vizuri sana
 
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifa

Kwani English inaambukizwa kwa kugegedana? Naye katumia muda wake kujifunzaa....Kumbuka readiness of the learner katika kuinfluence teaching and learning.....
Madam usitake nifungue ma Curriculum hapa....ushaelewa....
 
Back
Top Bottom