Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

project inaendelea
 
Attachments

  • IMG_4341.JPG
    IMG_4341.JPG
    49.7 KB · Views: 245
joh makini mwenyewe amekubali na kumpa holla dai kupitia account yake ya insta...
 
Kijana Chibu sasa hivi ni level nyingine kabisa sioni mtu wa kumfananisha nae hapa bongo,kiba na team yake ndio basi tena washakuwa vijeba hawakui tena
 
wajiandae kumuona tena kwny We are the World Africa na Dorobucci remix iliyosheheni mastaa kibao.mwaka huu lazima watakojoa dagaa
 
Hhhhhjaaaaaa eti wanajifariji kiba anakataa shoo huko south halaf hatak kujionesha kwani Daimond anajionyesha au kazi anazofanya media ndio zinamuonyeshaa,ina maana kwenye tuzo walitaka ajifichee au hua kuna tuzo za kimya kimya hazitangazwiiii
Watakunya bogaa
 
wameishiwa sera mtaa wa pili hizo tuzo za kimyakimya labda km ziwe zinafanyika kuzimu
 
Hivi kwanini mafans wa jamaa furani amtaki kukubali kwamba platinum yupo juu,tuzo 3 for sure he deserves to international artist and icon for Tanzania
 
Back
Top Bottom