Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamondi kamaliza mchezo, waliosema Mond anasafiri na nyota ya Wema wamenoa Sasa anasafiri na ya Zari, baada ya hapo atatafuta mrembo wa Kenya atamalizia wa Rwanda ndio anarudi Tz kuoa miss tz wa 2016

wema bla shaka atakuwa ana kanuksi kidogo maana kaondoka yeye tu milango imefunguka
 
Hawana hawana LA kusema hawana...
Anaunguruma unguruma LA kusema hawana....

Hawamuwezi ndo mana wanamsemaaa
Hawamuwezi ndo maana wanamchukiaaaa

Na badooooo....wakaoge wasugue na makwapa.....

Ikiwezekana wasugue na gaga
 
Inasikitisha sana mtaa wa pili wanapokosa cha kujadili et now wanajadili ndondo cup
 
Am back guys na le tamkoz....



Domo kaiba tuzo za watu jamani.tuzo ya afropop ni ya "mwana" ile ya east Africa ni ya "kimasomaso"
Na ile ya "new comer" ni ya "naksi nakshi"



Kwa niaba ya wafuta vumbi na matisheti ya "the return of the king" tunamtaka azirudishe kabla hatujakodiwa tena kwenda kumzomea pale eapoti hata kama kalitangaza taifa..
Natoa kompilimentari ya bando la buku kwa atakaefika eapoti na mabango ili tumzomee mwizi wa tuzo za davido,iyanya na mafikizolo.







Hahahahaha kuna watu wanatamani kutuma hizi meseji za hivi ila hata wao karoho ndani kwa ndani kanakataaaaa.....
Hahahahaa kama nawaona vile.


Le wafuta vumbi's tamkoz

hahahahahahahh nimecheka balaaa
 
Back
Top Bottom