Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

dah diamond anatisha sana,kiukwel namkubali sana.wale wanamfuata yule ambae haoshag kijambio chake,wameishiwa na maneno
 
Wee ni mtoto wa Dai? Kila mtoto hudhani baba yake 'anafua' dunia nzima.
 

Wanye mara ngapi???
Me nasubiri ngoma mpya ya funga mwaka ili wanye fenesi.......

Na zile pimples za fenesi hahahaha
 
Pitia account ya Adamumchomvu insta kanyosha mikono,kawaambia mwakani wakizomea tena wataumbuka Chinga One

adam kakubali mziki mzito wa chibu ...ila jamani chibu kwa zari noo haipendezi kabisa otherwise ale mzigo na kusepa ila sio kuwek kambi dada yuko aged sana.
 
Last edited by a moderator:
Haha jana na leo insta ilichafuka kwa habari za mtu mmoja kila mtu alisahau escrow

ha ha ha escrow ilituweka bize kweli wiki iliyo pita ila diamond kaja kugeuza stori za mjini now ni tuzo tuzo kila kona.
 

ulipo tea sana mkuu ila hili le tamkoz daah ni shidaaa
 
adam kakubali mziki mzito wa chibu ...ila jamani chibu kwa zari noo haipendezi kabisa otherwise ale mzigo na kusepa ila sio kuwek kambi dada yuko aged sana.

Kaka wale wote watu wazima wanaelewa wanachokifanya.....
Hakuna ndoa pale.
Kuna kitu dai anapata toka kwa zari na zari toka kwa dai(mbali na kilio cha chaga)

Mfano tazama umaarufu wa zari baada ya kuji associate na chibu.....so me nashangaaa watu wanavyoumiza kichwa juu ya Hawa watu....


Ila kama ukinambia zari na ubaya,hata kama zari ni aged na ana kids,I would go for zarina
 

Zari ni wa kupiga mzigo tu na kusepa maana ana onekana mjanja mjanja na she is after something. ..
 
Hahahaaa nacheka sana haters walivyopoteana....Mara hawasikilizi nyimbo za dai wanasikiliza nakshi nakshi mrembo...Mara wanasikilizaga...ni kauli gongana tuuuu.....

Na badooo....mwaka wenu huuu...
 
Naona safari hii tandale yote ni mastaa

Sidhani kama queen darleen kawahi kuishi tandale. Nadhani amekulia maghorofa ya kariakoo pale round about na kasomea muhimbili primary. ni mtoto wa kariakoo huyu alihit toka 2000 na dully kwenye julieta na zilizofuatia kibao
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…