Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


wakati tunasherekea tuzo tatu za channel o jamaa anatuwakilisha kwenye tuzo nyingine nchine nigeria tumia wakati huu kumpigia kura kupitia hii link THE HEADIES 2014 VOTING CATEGORIES | The Headies Supporting our very own...piga kura mara nyingi uwezavyo
 
Wenye akili wana show luv kwa chibu hivi ndivyo tunavyo taka tupeane moyo na kutakiana heri pale wenzetu wanapofungua milango.....bravo joh makini.
 

Attachments

  • 1417458244872.jpg
    72.9 KB · Views: 151
Tumtakie heri ya kuzaliwa ila ushauri wa bure ni kwamba aongeze bidii kwenye mavazi sio kuvaa mipajama ajiweke tofauti kimuonekano kwani yeye ni celebrity.ajifunze kuvaa kutoka kwa platnumz.
 

Attachments

  • 1417460154534.jpg
    40.4 KB · Views: 125
bora kiba, mi EATV ( channel 5 ) ndo ambao wamenishangaza yani dah...! huu utanzania wetu wa ajabu ajabu huu...tupo watu mil 40+ ni wachache sana ukilinganisha na nigeria kwa mfano ambayo tunaiangalia kimuziki...lakini bado ngebe nyiingi

Aliyeturoga waTz katisha sanaa
 
Hahahaaa nacheka sana haters walivyopoteana....Mara hawasikilizi nyimbo za dai wanasikiliza nakshi nakshi mrembo...Mara wanasikilizaga...ni kauli gongana tuuuu.....

Na badooo....mwaka wenu huuu...

Wengi wanatamani warudi usafini hahaha
 
bora kiba, mi EATV ( channel 5 ) ndo ambao wamenishangaza yani dah...! huu utanzania wetu wa ajabu ajabu huu...tupo watu mil 40+ ni wachache sana ukilinganisha na nigeria kwa mfano ambayo tunaiangalia kimuziki...lakini bado ngebe nyiingi

Hawajatangaza au???
 
Mi naisubiri video ya mwana naombea kiba nae afanye poaa,,ntashangaa sanaaa akiangusha fans wake


aah afanye poa tu maana dai ameshafungua milango kwa wasanii wengine washindwe wenyewe sasa
 
Siku Dai atakapoacha muziki watakuja kukir...maana ni kawaida ya binadamu kumpinga mtu akiwa katika epic ila akishuka tu utaskia ila kweli jamaa alikuwa mkali zaidi ya wote....kwa watu wa mpira wanakumbuka barcelona ile ilyoitesa dunia ila kuna watu wakawa wanasema inapendelewa ila ukiwafuata leo watakwambia haijawahi tokea timu nzuri kama ile ila jiulize kwanini mwanzo waikuwa wakiipinga???...jibu ni kwamba sasahvi siyo tishio kwao so dai wanampinga kwa sababu ni zaidi ya wasanii wote wanaowapenda wao
 

kuna jamaa anasema "time will tell hata juma nature alikua kama diamond sasa hivi yuko wapi?" nime mdharau huyu msela daah una .mfananisha nature na diamond? aagggggrrrrrr!!!!
 
Mengi akijua hilo atawatimua aseee....maana Mzee anakubali sana kazi ya diamond plus jitihada zake

halafu vuguvugu la hii ishu nimeanza kulisikia toka jana hawa EATV sijui wana nini yani mtu kapongezwa mpk na citizen ya majirani zetu wao wamekula buyu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…