Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mimi ni mmoja wa watu wanao penda kazi za Diamond!
Namshauri ajifunze kuimba bila kutegemea CD ! Diamond ana uwezo wa kutumia band kama ataamua kuanza kufanya zoezi la kutumia band na kuimba live music!

Kuliko kuwekeza kwenye msafara mrefu kila anapo kwenda ni bora akawekeza kwenye band na akawa anaimba live kuliko kutegemea CD!

Diamond pia ana hitaji msemaji wake maana hana msemaji!

Ushauri mzuri sana Mkuu,

Mi mwenyewe natamani sana kumona akiimba na bendi siku moja kabla Mauti hayaja tukumba aise, Watu wakatibu na Dai mfikishieni huu ujumbe please
 
Mie pia napenda kazi zake na anavyojituma, kama alivyosema mdau hapo juu ni kweli anatakiwa kuwa na msemaji na sio kila kitu anachoulizwa na media ni lazima atoe majibu, mengine ayapotezee, haswa kuhusu private life yake
 
Hold ur temper dude..! Huu ni uzi wa amani. Sasa hayo mambo ya 'mwana' ya nini hapa.?

Hapa amani dude,mi sina tatizo na yeyote anayefanya vizuri!!

Ila wengi wenu mashabiki mnadhani hamwezi tusapoti wote wanaofanya poa
 
woooote wanaosubiri pesa iwakimbize wao, u know what it is eee?? daimond najituma sanaaaaa, kipaji ni majaaliwa, and his energy will shout like horse, ila ukiendekea kujishtukia hivi, lazima likukwame.
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?

Hivi inawezekanaje shabikj aumie msanii anapofanikiwa?

Anaongeza au kupunguza nini kwa kufanya hivyo?
 
mwenyewe nimemshangaa kweli yaani, nakwambia hawa team kiba inferiority complex itawauwa.

Kwanini wawe inferior? They have to work hard.

Nitapenda pia kumuona Kiba akiwakilisha kama diamond.

Diamond ni zaidi ya Balozi wa NCHI. KAITANGAZA EAST AFRICA DUNIANI.
 
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?

Hivi inawezekanaje shabikj aumie msanii anapofanikiwa?

Anaongeza au kupunguza nini kwa kufanya hivyo?

Huwezi kujizuia kusikia mziki mzuri. Diamond anafanya mziki mzuri na hawacheleweshi mashabik wake.

Ana uwezo wa kutoa hits kila mwezi.

Unamchukia ila hujizuii msikiliza. Hii ndo sifa kubwa ya msanii bora.
 
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?

Hivi inawezekanaje shabikj aumie msanii anapofanikiwa?

Anaongeza au kupunguza nini kwa kufanya hivyo?

labda utujuze nia yako ya kumleta kiba hapa ni nini??? jipangeeeee!!! ukiendelea kukurupuka hivi lazima ule za uso
 
Kwanini wawe inferior? They have to work hard.

Nitapenda pia kumuona Kiba akiwakilisha kama diamond.

Diamond ni zaidi ya Balozi wa NCHI. KAITANGAZA EAST AFRICA DUNIANI.

WORKING HARD!! damn rit there, na sio maneno mengi. na sio kutaka heshima usioifanyia kazi, kiba akaze buti kama mondi na tunaopenda kazi nzuri tutaiona na kuipokea. fitina za nini bwaaa!!!
 
Hapa amani dude,mi sina tatizo na yeyote anayefanya vizuri!!

Ila wengi wenu mashabiki mnadhani hamwezi tusapoti wote wanaofanya poa

kama umefuatilia haya malumbano toka mwanzo utagundua wanaojiita team kiba ndio wana huu mtazamo, what to turn daimond down and kiba up tena kwa lazima wanasahau kupanda kwa msanii yoyote no short cut zaidi ya kujituma.
 
Ivi wako aware kwamba DIAMOND was MTV BASE ARTIST OF THE MONTH , OCTOBER 2014.

Actions SPEAK LOUDER.
 
Una uhakika gani kama hatokuja mwingine?

Hivi chameleone sio icon?

Ndio atakuja lakini hatofikia ubora na sifa ya diamondi. Nisawa kulinganisha ubora wa nabii Musa na Ibrahim. All are prophets but they differ each other according to there traits and vocation to serve God.
 
Back
Top Bottom