data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
watamkimbiza sana ila watambulia vumbi
Nina imani nae kubwa, kwani hatishiki na maneno ya watu.
Watasubiri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watamkimbiza sana ila watambulia vumbi
Mimi ni mmoja wa watu wanao penda kazi za Diamond!
Namshauri ajifunze kuimba bila kutegemea CD ! Diamond ana uwezo wa kutumia band kama ataamua kuanza kufanya zoezi la kutumia band na kuimba live music!
Kuliko kuwekeza kwenye msafara mrefu kila anapo kwenda ni bora akawekeza kwenye band na akawa anaimba live kuliko kutegemea CD!
Diamond pia ana hitaji msemaji wake maana hana msemaji!
Hakuna tatizo,sasa mnamponda Mwanadaslam kisa nini?
woooote wanaosubiri pesa iwakimbize wao, u know what it is eee?? daimond najituma sanaaaaa, kipaji ni majaaliwa, and his energy will shout like horse, ila ukiendekea kujishtukia hivi, lazima likukwame.Nani wataambulia vumbi as u said hapo juu?
Nina imani nae kubwa, kwani hatishiki na maneno ya watu.
Watasubiri sana.
Hold ur temper dude..! Huu ni uzi wa amani. Sasa hayo mambo ya 'mwana' ya nini hapa.?
Hold ur temper dude..! Huu ni uzi wa amani. Sasa hayo mambo ya 'mwana' ya nini hapa.?
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?woooote wanaosubiri pesa iwakimbize wao, u know what it is eee?? daimond najituma sanaaaaa, kipaji ni majaaliwa, and his energy will shout like horse, ila ukiendekea kujishtukia hivi, lazima likukwame.
mwenyewe nimemshangaa kweli yaani, nakwambia hawa team kiba inferiority complex itawauwa.
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?
Hivi inawezekanaje shabikj aumie msanii anapofanikiwa?
Anaongeza au kupunguza nini kwa kufanya hivyo?
Linikwame kivipi wakati Mimi sio mwanamuziki?
Hivi inawezekanaje shabikj aumie msanii anapofanikiwa?
Anaongeza au kupunguza nini kwa kufanya hivyo?
Kwanini wawe inferior? They have to work hard.
Nitapenda pia kumuona Kiba akiwakilisha kama diamond.
Diamond ni zaidi ya Balozi wa NCHI. KAITANGAZA EAST AFRICA DUNIANI.
Hapa amani dude,mi sina tatizo na yeyote anayefanya vizuri!!
Ila wengi wenu mashabiki mnadhani hamwezi tusapoti wote wanaofanya poa
kama umefuatilia haya malumbano toka mwanzo utagundua wanaojiita team kiba ndio wana huu mtazamo, what to turn daimond down and kiba up tena kwa lazima wanasahau kupanda kwa msanii yoyote no short cut zaidi ya kujituma.
Calm down,mliposema upande wa pili mlimaanisha UPI?
Una uhakika gani kama hatokuja mwingine?
Hivi chameleone sio icon?
if u cant right them join them...!!!
woyowo....!!!
woyowoyowooooo!!!!