Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mwanaume lakini kutwa kukaa kusutana na wadada

Eeh!! warumi kageuka kuwa diamond tena? Basi badilishen na heading kabisa ili mnijadili vizur, maana napenda kwel kuongelewa, na it seems mnanifuatilia sana na umbea wangu, sasa kama nyie sio wambea sijui mmejuaje ka mimi ni mbea, this is soo miujiza, it takes only witch to know another witch, kwi kwi kwi

Le warumiz le foreverz
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa
 

Attachments

  • 1415954451771.jpg
    1415954451771.jpg
    62 KB · Views: 132
Hapa vipi
 

Attachments

  • 1415958538617.jpg
    1415958538617.jpg
    57.2 KB · Views: 156
Diamond hardworker juhudi zake sasa zinalipa.....Ally Kiba talented but not hardworker!Ni mtazamo tu wala msijenge Chuki!
 
Huu uzi umegeuka kuwa wa warumi tena sio diamond?? Ahahaha watu na nyota zetu bhana, endeleen kuongea maana mnazidi kunipa promo tu

we jamaa lazma utakua na walakini tu,kwa trend ya thread zako lazmq utkua sio riziki tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom