Hata kasuku ana sauti nzuri ila sio mwanamuziki
Hahahahahahah kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kasuku ana sauti nzuri ila sio mwanamuziki
Huyu jamaa anaupush sana mzik wa Tz kimataifa, Big up!!! Ukisinzia sinziaaaaaAaaaaaa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hata kasuku ana sauti nzuri ila sio mwanamuziki
Ndiomaana huwa siwaelewi wanaosemaga ana sauti nzuri.....
Wengi hawajui music.
Kasema anaona raha kupanga jamaniii......
Ila wamwambie uyo mfalme wao apunguze kubana pua, alaaa ndo nini sasa (in chausiku voice)
nampenda sm diamond ansjiamin sana msela na uthubutu ivo tu
mwache aendelee kubana pua atakuja jinyea jukwaani.
wanafunzi wanamjua dai kuliko hata kikwete dai superstar kila konaaaa
Ningewashauri wabadilishe heading waweke warumi special thread maana ndicho wanachokijadili, watu na nyota zetu bhana babeeeki
Binamu uko juu si unaona mwenyewe.
Mkuu nae kwa kupotea tuu
Binamu uko juu si unaona mwenyewe.
Hahaha poa kaka,naendelea muda si mrefu......
Itahusu "maisha ya kistaa ya Diamond na korosho za watanzania"
Stay tuned
yeeeeeessssss!!! dai dai dai dai dai dai dai daiiiiiiiiiiiiiiii nipo hapa kwa ajili yake.
Diamond atabaki kuwa icon ya East Africa, no one else.
umepotea Paula kilaki.....!
acha nipotee na sitaki kutafutwa